hahahahah nyumba kubwa bana............. Unajua you may need things you do not want (mtu kama anahitaji sex, anawezaihitaji hata kama hataki (want) mf. Amekaa muda mrefu bila then akawa maeneo 'hatarishi' akajikuta tu bunduki imekoki na mazingira yanaruhusu akasonga mbele.
Need comes out of lack.
Want - you may want something you dont need - tamaa, ametamani akajikuta anam-want kwa sababu tu anaafford au mazingira yanaruhusu lakini si kuwa ame-lack
want - comes out of desire
i think!
So sex i think is both, a need and a want
Hahahahah nyumba kubwa bana............. unajua you may need things you do not want
Need comes out of lack.
Want - comes out of desire
So sex I think is both, a need and a want
Ahahahaah!! Kweli kabisa, unaweza kuanzishiwa thread kisa umeandika ovyo..ha haaa kwa kuwa kuna wajuzi wa lugha humu,huwa napenda kuwa right
hata kwa kiswahili pia....siwezi kusema niko fluent hata kiswahili...lol
sijui nisemeje kuhusu hili....
But zamani nilipokuwa college....kuna mdada mmoja nilikuwa
namsumbua sumbua saana.alikuwa married hata hivyo..yeye alikuwa
secretary wa hapo college....
Sasa ikatokea mume wake akapa scholarship nje ya nchi......ya mwaka mmoja...
Kilichonishangaza ni kuwa alikuwa ana rafiki yake msichana
ambae alikuwa classmate wangu,alikuja moja kwa moja kuniambia
kuwa 'mume wake kasafiri.sasa kazi kwako...mwaka mmoja ni ngumu kwake kujizuia...
Hiyo experience na mengi niliyosikia kuhusu waume wanaosafiri safiri
imenifanya niamini,wanawake pia..wana need sex sometimes...
P.s...kuhusu huyo dada,nilihama chuo so sikuweza kumfatilia tena..
Unaona sasa...that's why it is my belief that fidelity is not humanly possible.
Kwa hiyo kwa maneno mengine ni kwamba huyo mke alitafuta mtu wa kumegana naye, sio?
hivi mfano mwanamke anampenda mume wake na yupo kwenye ndoa..
Na watoto wamezaa....but haridhishwi kwenye sex....anatoka nje....
Tutasemaje hapo?out of need,or out of want?????
I think its a need hapo The Boss. Kwa sababu analack humo ndani. lol leo nyani kaamua kutukamatisha hapa. Watu tutajikanganya hadi basi
Na hapo kuna tofauti kati ya Want na Preference pia..........sijui in a sexual orientation inakuwaje mwe!
lol leo nyani kaamua kutukamatisha hapa. Watu tutajikanganya hadi basi
hapo kwenye preference hapo ndo nikasema hii ni 'pandora box imefunguka'
mimi naamini.kama wanawake wote,hasa wa tanzania
wakisema wamwage hadharani kwa waume zao.nini hasa wanataka na ni vipi waridhishwe in bed...
majumba yatawaka moto lol
Hata sijui umewaza nini my bro!! duh!Hahahaa...you are very perceptive my sister! Indeed, it is kind of a trap topic when you think about it.
The Boss nafikiri watu wote tuna desire and a need for sexual satisfaction. But kuna tofauti kati ya wanawake na wanaume kwani nafikiri wanaume wanaji-engage kwenye sex primarily kwa ajili ya physical pleasure itokanayo na sex wakati wanawake wengi wana tendency ya kuunganisha emotions zao kwenye sexual relationships (for the most part) kwa sababu ndo nature yetu.
Ni rahisi zaidi kwetu (wanawake) ku "turn off" our desire for sex when we don't feel to have it au pale tunapohisi kuwa our emotional needs are not being met kwenye mahusiano tuliyonayo.
So hili jibu lako la whether sex is a need or want .....mwe!! tukisema tusegregate ki-sex tutakuwa na kazi ya ziada kuielezea.
So is it fair to say that men and women are wired differently (for the most part) when it comes to sex?
Sex...is it a need or want?
Sex is a want for you can live without being in need of it but that be a food which you can not live in absence of it.
The Boss nafikiri watu wote tuna desire and a need for sexual satisfaction. But kuna tofauti kati ya wanawake na wanaume kwani nafikiri wanaume wanaji-engage kwenye sex primarily kwa ajili ya physical pleasure itokanayo na sex wakati wanawake wengi wana tendency ya kuunganisha emotions zao kwenye sexual relationships (for the most part) kwa sababu ndo nature yetu.
Ni rahisi zaidi kwetu (wanawake) ku "turn off" our desire for sex when we don't feel to have it au pale tunapohisi kuwa our emotional needs are not being met kwenye mahusiano tuliyonayo.
So hili jibu lako la whether sex is a need or want .....mwe!! tukisema tusegregate ki-sex tutakuwa na kazi ya ziada kuielezea.
it is not fair.....it is fact....
Sex is a want for you can live without being in need of it but that be a food which you can not live in absence of it.
From our physical and emotional make up .......I think so Nyani. Or may be na upbringing inachangia. I believe watoto wa kike wanavyokuzwa hufunzwa kuzisuppress hisia zao za mapenzi kuliko wanaume. All those donts.. usifanye mpaka awe mumeo, dont touch yourself, its dirty and all those things zinajengeka hadi vichwani so inapotokea umekutana na mtu asio mumeo, boyfriend au ambaye una hica naye unawezakujizuia (of course kuna exceptions nyingi tu)So is it fair to say that men and women are wired differently (for the most part) when it comes to sex?