Is it a coincidence?

Is it a coincidence?

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,782
Reaction score
9,707
Obama made it, Lupita made it too, forgive my rude mechanicals,this is beyond my wildest dreams.
 
Wale mademu, wanaojichubua wakiamini ''weupe'' ndio ustaa badala ya kujituma, sasa aache uhanithi, lupita ni mweusi ''T'' lakini bonge la supa staa hadi kachukua Oscar, kuliko hata jack wolper. chezea movie ya ''12 years of slave''.
 
hata hivyo dada lupita alicheza, kuna wakati alichapwa fimbo akiwa uchi, alikuwa demu wa mtasha mmoja mwenye wivu kiaina.
 
Wale mademu, wanaojichubua wakiamini ''weupe'' ndio ustaa badala ya kujituma, sasa aache uhanithi, lupita ni mweusi ''T'' lakini bonge la supa staa hadi kachukua Oscar, kuliko hata jack wolper. chezea movie ya ''12 years of slave''.

Mnawajua waliohujumu ...tuzo za KORA AFRICA...?
 
Back
Top Bottom