Iran exits over 10,000 years, while Israel only 60 years. Israel wasted their time to mess with Iranian. Iranian people are very smart for this *****.
Bado hauongei logic bali ushabiki. Sasa kama Iran ipo kwa miaka 10,000 na Israel miaka 60? So what? Pili, Israel ipo tokea biblical times.
That is logic over 10000/60. I mean, Iran ni Shia Muslim ambao wamesambaa ktk Mideast yote. Sasa unapozumgumzia nchi yenye watu 6mil(Israel) na Iran 60mil +(Shia muslim at the region over 100mil) unaona wapo sawa?. Wairan wana nuclear site kila kona ktk nchi. USA mpaka leo hawajui ni site gani ambazo zipo hizo nuclear. Israel wanajisumbua kwa their low class cyber attacks. Huu si ushabiki ni TRUE; ndiyo maana USA hawaipi ok Israel to bomb Iran.
Sasa mkuu nashindwa kukupata kidogo. Maana you talk about the age of the countries halafu their populations. Lakini what does all that have to do with anything? Israel might not dare attack Iran but Iran wouldn't dare do the same also. Whenever the are nuclear weapons involved everyone tries to avoid confrontation. Only a fool would initiate a nuclear war.
The sham of all this issue is who has the right to dictate to who about nuclear proliferation? Israel has the bomb. The US has the bomb. Pakistan and India have the bomb. Sasa ni nani aliye na haki ya kumkataza nani asiwe na bomb? That is the question, as far as I am concerned.
Iran exits over 10,000 years, while Israel only 60 years. Israel wasted their time to mess with Iranian. Iranian people are very smart for this *****.
That is logic over 10000/60. I mean, Iran ni Shia Muslim ambao wamesambaa ktk Mideast yote. Sasa unapozumgumzia nchi yenye watu 6mil(Israel) na Iran 60mil +(Shia muslim at the region over 100mil) unaona wapo sawa?. Wairan wana nuclear site kila kona ktk nchi. USA mpaka leo hawajui ni site gani ambazo zipo hizo nuclear. Israel wanajisumbua kwa their low class cyber attacks. Huu si ushabiki ni TRUE; ndiyo maana USA hawaipi ok Israel to bomb Iran.
That is logic over 10000/60. I mean, Iran ni Shia Muslim ambao wamesambaa ktk Mideast yote. Sasa unapozumgumzia nchi yenye watu 6mil(Israel) na Iran 60mil +(Shia muslim at the region over 100mil) unaona wapo sawa?. Wairan wana nuclear site kila kona ktk nchi. USA mpaka leo hawajui ni site gani ambazo zipo hizo nuclear. Israel wanajisumbua kwa their low class cyber attacks. Huu si ushabiki ni TRUE; ndiyo maana USA hawaipi ok Israel to bomb Iran.
No one has a right to dictate other. However, if you have a nuclear power it means that you have the ability to influence the behavior of others and it is security insurance. Pakistan had a nuclear bomb in order to defend itself from India. And Cold war between USA and Russia it was the same thing. In addition, most people don't realize that, Iran feels more threat from Israel than Israel feel towards Iran. Israel direct most of their nuclear bomb towards Iran. Iran and Israel they are about power. Israel wants to be a super power in the Mideast, in the mean time Iran feels the same way. Tatizo jingine ni kwamba Iran ni Shia Muslim. Kama Iran ikiwa na Nuclear bomb Saudi Arabia, Egypt (Sunni Muslim) wataanza beef na Iran. Kwa sababu Wasaudi na Waigypt hawataki Shia Muslim to be majority at the region.
Fahamu kuwa Wairan si Waarabu... Wao ni Waajemi. Israel alipigana na Waarabu na si Waajemi.Kwani mwaka 1967 Israel ilipigana na nchi za kiarabu kwa muda wa siku sita na kuzishinda vibaya, kwani nchi hizo zilikuwa na watu wangapi? Vitisho vya Iran havitofautiani na vya Iraq wakati wa Sadam Hussein, yuko wapi sasa? Hao washia walikuwepo hata miaka ya 1948 tangu Israel ilipoundwa upya na hawakufanya chochote cha maana!
Wacheni ushabiki... Mbona hamshabikii kuwa Waafrika tulikuwepo kabla ya hiyo biblical times ku exist!Bado hauongei logic bali ushabiki. Sasa kama Iran ipo kwa miaka 10,000 na Israel miaka 60? So what? Pili, Israel ipo tokea biblical times.
Umeshazungumzia nuclear war na population sasa gusia cyber war. Hata kama nuclear sites ziko nchi nzima Iran, nafikiri sio tatizo kuziattack zikijulikana. Na kwa nini unafikiri ni low class cyber attacks?