kutembea na kilaza haimaanishi na wewe utakuwa kilaza wewe utabaki kuwa
binti2013 mfana mzuri nina date na
Tumboo mbona yeye hajawa kilaza???? (hataivyo nina mpango wa kumtema siku sio nyingi )
........I see u still have that feeling kwa jamaa kama bado unampenda mkubalie tuu sasa utafanyaje hahahahahahaha ninavyojua mimi sisi tunarudishaga "majeshi" kwa manzi wanasema ku"retreat" kwa sababu tunazozijua lakini sio kwasababu tumejuta (usiombe kuzijua hizo sababu)
..........