W Wimana JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 2,449 Reaction score 718 Jan 18, 2013 #21 Kongosho said: Kuna ukweli hapa[/QUOTE Hii itakuwa kweli kwa wanawake wenye choices kama zako. Unataka kuniambia sis tulio wakali na wenye vigugumizi hatufai? Kongosho, acha kutukatisha tamaa dada. Click to expand...
Kongosho said: Kuna ukweli hapa[/QUOTE Hii itakuwa kweli kwa wanawake wenye choices kama zako. Unataka kuniambia sis tulio wakali na wenye vigugumizi hatufai? Kongosho, acha kutukatisha tamaa dada. Click to expand...
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,942 Reaction score 23,893 Jan 18, 2013 #22 Kongosho said: Kuna ukweli hapa Click to expand... ...kweli.. ongezea nyama Mkuu
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Jan 18, 2013 #23 Wimana said: Kongosho said: Hii itakuwa kweli kwa wanawake wenye choices kama zako. Unataka kuniambia sis tulio wakali na wenye vigugumizi hatufai? Kongosho, acha kutukatisha tamaa dada. Click to expand... Sikukatishi tamaaa Kwani mwenye kigugumizi hana sauti ya kimahabati?? Au hana sauti ya kiume yenye pozi? Acha woga bana data said: ...kweli.. ongezea nyama Mkuu Click to expand... Niongezee kilo ngapi? Ya mbuzi au ya ng'ombe? Click to expand...
Wimana said: Kongosho said: Hii itakuwa kweli kwa wanawake wenye choices kama zako. Unataka kuniambia sis tulio wakali na wenye vigugumizi hatufai? Kongosho, acha kutukatisha tamaa dada. Click to expand... Sikukatishi tamaaa Kwani mwenye kigugumizi hana sauti ya kimahabati?? Au hana sauti ya kiume yenye pozi? Acha woga bana data said: ...kweli.. ongezea nyama Mkuu Click to expand... Niongezee kilo ngapi? Ya mbuzi au ya ng'ombe? Click to expand...