Is God Real?

 
Kama Mungu hapimiki wala hawezi thibitika kwa namna yoyote , hii haina tofauti na kutokuwepo kabisa
Si ndio hapo, kitu hakionekani, hakipimiki, hakisikiki, wala hakishikiki wewe kama sio mpumbavu unasemajr kipo?
 
wewe ukifa unakwenda wapi? Thibitisha jibu lako.
 
Acha uongo energy inakuwa destroyed kwa sasa
Dunia inaloose mass kwa kiasi kidogo mno ila mass is constant. Labda kwa kiasi dogo sana maybe rocket zinazotoka, na particles zinazoondoka kupitia atmosphere kwa uchache sana ila energy cannot be destroyed in chemistry, sasa tukichoma kitu tuka collect particles zote it will weight the same before chemical reaction haijatokea.
 
energy inakuwa destroyed kwenye black hole
 
Acha uongo energy inakuwa destroyed kwa sasa
Mtoto anapokua, anapat mass kutoka kwenye chakula. Chakula kinatoka kwa mimea, wanyama. Mimea inapata mass yake kutoka:
CO2 kwa hewa, maji (H2O), madini kwenye ardhi. Still tukija kwenye fact hizo zilikuwa tayari sehemu ya dunia.

Hamna new atom mpya zinazoibuka ghafla zinahama tu from one form to another. Kwa miaka hii circle itaendelea kuwa hivi maana hadi sasa ni kiasi kidogo mno cha resource za dunia tumeweza kutumia.
 
kwenye blackhole
 
Si ndio hapo, kitu hakionekani, hakipimiki, hakisikiki, wala hakishikiki wewe kama sio mpumbavu unasemajr kipo?
kuwepo kwake sio mpaka akudhiirishie kwa kumshika, kumpima, kumsikia,au kumuona, wewe nani mpaka utake kumshika? na ili iweje?

Mungu atoke aseme aya bush dokta nipime, nishike, nione n.k huyo atakuwa sio Mungu tena bali mwajuma

Mfano mimi niwepo zangu huku mbande nimejipigilia na ishu zangu watu wanataka kuniona lakini mm sitaki ndio uje useme mm sipo wala sijawai kuwepo kwasababu hujanioa wala ujanishika, wala unisikii... hata junior wa miaka 7 atakushangaa.
 
Ukisema kuna simba huko ikwiriri sio jukumu langu kuamini kwa sababu tu haujataka nimwone.
 
wewe ukifa unakwenda wapi? Thibitisha jibu lako
Sasa tathibitishaje kwa mtu asiye amini.

Mimi takujibu katika mwili wenye uthibitisho kua ukifa tunakuzika makuburini, ila kama ukifa polini basi utageuzwa kua kinyesi cha fisi, kama ni baharini basi utakua kitoe cha samaki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…