Papaah
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,891
- 4,265
WATU WA DINI UPO KUNDI GANI?
A. Viongozi (Elite): Kwa viongozi wa dini, wanasiasa, na watu wenye ushawishi mkubwa, dini ni mtaji mkubwa sana. Inawapa himaya za kifedha zisizolipa kodi, umiliki mkubwa wa ardhi, na kundi la watu wa kuwapigia kura bila kuhoji. Wanautumia mfumo huo kupata nguvu na utajiri wa hapa duniani.
B. Wafuasi (The Masses): Kwa muumini wa kawaida asiyenufaika kiuchumi wala kisiasa, faida pekee anayoipata ni ya kisaikolojia (faraja ya akili). Wao wanatoa fedha zao walizozitolea jasho (sadaka, zaka, michango) na muda wao wa maisha, wakibadilishana na ahadi za mambo yajayo wasiyoweza kuyaona kwa macho.
NYIE NDO HAMTAKI RAHA HAPA DUNIANI?