Hivi kwanini mfumo wa ESS bado link huzika za kibenki hazifanyi kazi, na mabenki na taasisi za kifedha hasa hizi ndogo ndogo kama Maboto kuwa wajeuri kusikiliza hoja za wateja hasa mtu anapohitaji kulipa deni,wanasingizia serikali kwa hofu yao ya kupungua riba unapotaka kufanya Loan take over au vinginevyo.
Wanafurahia mteja akikopa kwa muda mrefu bila kulipa kwa mkupuo