Is Acer Mini Laptops (i.e D270, AOD270) Supports Windows 8?

Is Acer Mini Laptops (i.e D270, AOD270) Supports Windows 8?

Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, hivi vimashine vinasuport windows 8? Nadhan wakuu
> e2themiza chief-mkwawa
NingaR GOOGLE

Watatupa shule kidogo

Haya ndio mahitaji ya Windows 8

Processor: 1GHz au zaidi inayo support PAE, NX, na SSE2
RAM: 1GB (32-bit) au 2GB (64-bit)
Hard disk space: 16GB (32-bit) au 20GB (64-bit)
Graphics card: Microsoft DirectX 9 graphics device with WDDM driver

kama hizo mini laptops zime fikia vigezo hivyo unaweza weka Windows 8
 
Last edited by a moderator:
mimi ninayo window 8 pro. Na permanet activator key yake nitafute kaka
 
jamani maswali kama haya muwe munaenda website official za hizo laptop.

Mfano mi nimeingia tu website ya acer kuitafuta tu hio laptop juu kumeandikwa wao acer wanarecomend ku-upgrade kwenda windows 8 kwa watumiaji wa hio laptop uloitaja.

Technically laptop zote za windows 7 zinasuport windows 8
 
Back
Top Bottom