Je ukiivua ukaiweka mfukoni au kwenye walet ina-detect..???
Nasema network inasumbuaSignals zikikata unajulikana umeivua.
Hapo unapigiwa simu kuulizwa kwa nini umeivua?
Ndo hivo uache kuchepukaHakika sina hamu nayo.
Italeta tafrani ktk ndoa
Jibu sahihi kabisaKufuatilianafuatiliana ni ushenzi tu. Wawatengenezee tembo wetu....halafu yule waziri wa wanyamapori nae avishwe