IRINGA: Watatu wafariki katika ajali ya basi la Ngasamo Express

IRINGA: Watatu wafariki katika ajali ya basi la Ngasamo Express

Kweli tumekosa kabisa njia ya kupunguza ajali barabarani tofauti na torch? wataalamu wetu wanatuangusha sana.
 
Hizi basi ikishafika saa kumi na mbili zinakimbia sana maana wanajua tochi hakuna muda huo.......!!
 
Serikali inabidi itupie macho sana huko iringa,kwa ajali imekua too much
 
Na tochi ndio visababishi vikubwa vya ajali nyingi maana dereva anatii sana sheria lakini atakapopata upenyo unaweza dhani kama kapata kichaa
Kweli tumekosa kabisa njia ya kupunguza ajali barabarani tofauti na torch? wataalamu wetu wanatuangusha sana.
 
hii njia wawaachie wakongwe kama super shem na isamilo,ngasamo dah poleni sana wafiwa
 
Back
Top Bottom