Tatizo umeandika ukilenga chadema, CCM hamuaminiki mpaka Mungu anajua,
Tz KWANZA sio CCM WOTE hawajitambui ila kuwa jua ndo shida, that's tunawachukulia wote ni wa ajabu, lakini wapo CCM huru, awa ata mnayoyafanya ndani ya chama wanawaona watu wa ajabu, so Hawa pia wanaweza kuandika,
Ila ccm limbukeni,kindakindaki, maslahi Hawa wanaweza kuandika KWa lengo tu la kuichafua CHADEMA, michezo hii mmefanya Sana,
Tz Kuna wapenda haki ,Hawa hawafungamani na chama chochote wanaweza kuandika
Why kuishutum Chadema MOJA KWa MOJA,
MISINGI YA CHADEMA INABOMOLEWA HUKO KIGOMA, WANACHAMA WANAKAMATWA HOVYO, NA KUBAMBIKIWA KESI , OFISI CHA CHAMA ZINAVUNJWA USIKU MFANO PALE DODOMA ,KWENU NI SAWA , ILA TUMAANDISHI KWENYE KIBANDA CHENU , AU CHA UMMA MAANA CCM OFISI ZENU NYINGI NA MAENEO MENGI NI UMMA,
MNAANZA KULIALIA, CHADEMA YOTE MNAYOTUFANYIA TUNAPATA MAUMIVU MAKALI SANA ILA NYUSO ZETU ZINA FURAHA , NYIE KIDOGO KULIA, Acheni
Watu wanadaiwa kuwa wanachama wa chama Cha CHADEMA usiku wa kuamkia leo wamejaza maneno ya chuki na kutishia amani kwenye ofisi za CCM.
Maneno Kama 'next is fire get ready ' yamesomeka katika kuta za ofisi za CCM kata ya mashindo.
Chadema mnaifanya dunia ijue nyie kweli ni magaidi kwa mambo Kama haya
My take. Ikitokea mkachoma Moto majengo ya CCM mjue hatutawaacha salama.
USSR
View attachment 1882763View attachment 1882764