Iringa: Wafuasi wa CHADEMA waandika maneno ya vitisho kwenye kuta za ofisi za CCM

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,884
22,596
Watu wanadaiwa kuwa wanachama wa chama Cha CHADEMA usiku wa kuamkia leo wamejaza maneno ya chuki na kutishia amani kwenye ofisi za CCM.

Maneno Kama 'next is fire get ready ' yamesomeka katika kuta za ofisi za CCM kata ya mashindo.

Chadema mnaifanya dunia ijue nyie kweli ni magaidi kwa mambo Kama haya

My take. Ikitokea mkachoma Moto majengo ya CCM mjue hatutawaacha salama.

USSR
20210806_153140.jpg
20210806_153136.jpg
20210806_153130.jpg
 
CCM mkae mkijua Katiba mpya hata nyinyi itawafaidisha.
Kumbukeni Magufuli alichowafanya KINANA, NAPE, JANUARY, MZEE MAKAMBA, JANUARY, LIKWELILE, AMOS MAKALA, MEMBE N.K
 
Unajua Clinton alimfanya Apstein

USSR
 
Hawa jamaa wanaugaidi unaochipukia kwa kasi mnoo
Rai yangu kwa jeshi la polisi lifanye kazi ya kulinda amani
 
yaani ma CCM yana mbinu za kitoto kweli kweli, yaani apo kamata green guards na migambo watasema tuu nani aliye watuma kuandika huo ujinga ujinga kwenye ofisi zao
 
Watu wanadaiwa kuwa wanachama wa chama Cha CHADEMA usiku wa kuamkia leo wamejaza maneno ya chuki na kutishia amani kwenye ofisi za CCM.

Maneno Kama 'next is fire get ready ' yamesomeka katika kuta za ofisi za CCM kata ya mashindo.

Chadema mnaifanya dunia ijue nyie kweli ni magaidi kwa mambo Kama haya

My take. Ikitokea mkachoma Moto majengo ya CCM mjue hatutawaacha salama.

USSRView attachment 1882763View attachment 1882764
Naona wanapanga kuchoma ofisi yao wenyewe
 
Maneno ya vitisho
mbona siyaoni? Any way hawa magaidi wanaodai katiba hebu waueni wote
 
Watu wanadaiwa kuwa wanachama wa chama Cha CHADEMA usiku wa kuamkia leo wamejaza maneno ya chuki na kutishia amani kwenye ofisi za CCM.

Maneno Kama 'next is fire get ready ' yamesomeka katika kuta za ofisi za CCM kata ya mashindo.

Chadema mnaifanya dunia ijue nyie kweli ni magaidi kwa mambo Kama haya

My take. Ikitokea mkachoma Moto majengo ya CCM mjue hatutawaacha salama.

USSR
View attachment 1882824View attachment 1882825View attachment 1882826View attachment 1882827View attachment 1882828

Yaani unaandika mwenyewe mwanaCCM halafu, unapiga picha kwa ki - TECNO chako hiko na kisha unakimbilia kwenye social media kusema, "....CHADEMA wamemeandika......" na kupost humu...

Ungesema tu pasipo kuitaja CHADEMA hapa ingekuwa very universal na hakuna ambaye angekutilia shaka...

Lakini namna ulivyoripoti tu hapa, moja kwa moja mwandishi wa maneno haya ni wewe mwenyewe....!!

Usikute mnajiandaa kuwambikia kesi wana CHADEMA wengine kwa kutumia mbinu ileile iliyotumika kumbakia Freeman Mbowe...!!
 
Watu wanadaiwa kuwa wanachama wa chama Cha CHADEMA usiku wa kuamkia leo wamejaza maneno ya chuki na kutishia amani kwenye ofisi za CCM.

Maneno Kama 'next is fire get ready ' yamesomeka katika kuta za ofisi za CCM kata ya mashindo.

Chadema mnaifanya dunia ijue nyie kweli ni magaidi kwa mambo Kama haya

My take. Ikitokea mkachoma Moto majengo ya CCM mjue hatutawaacha salama.

USSR
View attachment 1882824View attachment 1882825View attachment 1882826View attachment 1882827View attachment 1882828
Bango lenyewe moja la FIRE lakini mengine ni MBOWE SIO GAIDI ambayo hayana uchochezi.
 
Tatizo umeandika ukilenga chadema, CCM hamuaminiki mpaka Mungu anajua,

Tz KWANZA sio CCM WOTE hawajitambui ila kuwa jua ndo shida, that's tunawachukulia wote ni wa ajabu, lakini wapo CCM huru, awa ata mnayoyafanya ndani ya chama wanawaona watu wa ajabu, so Hawa pia wanaweza kuandika,
Ila ccm limbukeni,kindakindaki, maslahi Hawa wanaweza kuandika KWa lengo tu la kuichafua CHADEMA, michezo hii mmefanya Sana,

Tz Kuna wapenda haki ,Hawa hawafungamani na chama chochote wanaweza kuandika

Why kuishutum Chadema MOJA KWa MOJA,

MISINGI YA CHADEMA INABOMOLEWA HUKO KIGOMA, WANACHAMA WANAKAMATWA HOVYO, NA KUBAMBIKIWA KESI , OFISI CHA CHAMA ZINAVUNJWA USIKU MFANO PALE DODOMA ,KWENU NI SAWA , ILA TUMAANDISHI KWENYE KIBANDA CHENU , AU CHA UMMA MAANA CCM OFISI ZENU NYINGI NA MAENEO MENGI NI UMMA,

MNAANZA KULIALIA, CHADEMA YOTE MNAYOTUFANYIA TUNAPATA MAUMIVU MAKALI SANA ILA NYUSO ZETU ZINA FURAHA , NYIE KIDOGO KULIA, Acheni

Watu wanadaiwa kuwa wanachama wa chama Cha CHADEMA usiku wa kuamkia leo wamejaza maneno ya chuki na kutishia amani kwenye ofisi za CCM.

Maneno Kama 'next is fire get ready ' yamesomeka katika kuta za ofisi za CCM kata ya mashindo.

Chadema mnaifanya dunia ijue nyie kweli ni magaidi kwa mambo Kama haya

My take. Ikitokea mkachoma Moto majengo ya CCM mjue hatutawaacha salama.

USSRView attachment 1882763View attachment 1882764
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom