Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Siku hizi hata Shinyanga baada kupata Lami ni pazuriIringa imekaa vizuri zaidi napendekeza atafutwe mshindani mwingine na sio Shinyanga.
Post sent using JamiiForums mobile app
Unaposema palivuta una maanisha nini? Kuzidi au mijadala hasa bk na moshi miji ilizidiana kitofauti na mbeya na tanga hivyo hivyoHaya sasa baada ya kuona battle za Dar vs Nairobi tukaona mapicha kibao, ARUSHA vs MWANZA tukaona mapicha mazuri,(MWANZA palivuta) Tanga vs Mbeya tukaona vituu( Tanga palivuta), Moshi vs Bukoba napo tukaona mapicha mazuri sana Moshi pakavuta. Sasa Leo Tarehe 16/7/2017 tuone wapi panavutia na pazuri zaidi kati miji hii ya Iringa na Shinyanga, wapi ni mji MKUBWA kuliko mwingine! WENYE PICHA TUONE SASA MAMBO WAPI PANAVUTIA KWA MANDHALI NK.
Post sent using JamiiForums mobile app
Utafute miji inayofanana kiaina fulani mfano moshi vs bukoba mwz vs arusha ni miji inayoshabiana sana mfano bk na moshi kuna wasomi wengi na utamaduni unaelekeana na miji INA historia inayofanana bora utafute miji inayoleta ubishi miongoni mwa watuHaya sasa baada ya kuona battle za Dar vs Nairobi tukaona mapicha kibao, ARUSHA vs MWANZA tukaona mapicha mazuri,(MWANZA palivuta) Tanga vs Mbeya tukaona vituu( Tanga palivuta), Moshi vs Bukoba napo tukaona mapicha mazuri sana Moshi pakavuta. Sasa Leo Tarehe 16/7/2017 tuone wapi panavutia na pazuri zaidi kati miji hii ya Iringa na Shinyanga, wapi ni mji MKUBWA kuliko mwingine! WENYE PICHA TUONE SASA MAMBO WAPI PANAVUTIA KWA MANDHALI NK.
Post sent using JamiiForums mobile app
Panalivutia zaidiUnaposema palivuta una maanisha nini? Kuzidi au mijadala hasa bk na moshi miji ilizidiana kitofauti na mbeya na tanga hivyo hivyo
Post sent using JamiiForums mobile app
Usije ukaleta kesi moshi vs bk bk ilivutia sana hasa kwa milima na hotel zakePanalivutia zaidi
Post sent using JamiiForums mobile app
Izo almas zenyewe bila shaka hatakuona hujawahi mnapigwa tu mshukru Magu amekuja kuwatoa tongotongo, bora ungenyamaza maana hata ukiulizwa mkoa wa shinyanga kwa ujumla umepata gawio kiasi gani tangu muanze kuchimba madini huwez jibu...atleast jamii ya iringa wanalima nyanya na vitunguu lakin wametusua ivoivoAcha kufananisha mji wa almasi / dhahabu na ugolo
Post sent using JamiiForums mobile app