Iringa: Mkazi wa Dar akamatwa baada ya kuzidiwa akisafirisha Dawa za Kulevya alizomeza

Doctor kwa nini umeuza dili ki’rahisi hivo ?
 

Attachments

  • 2D71EC97-4168-4726-A6CC-7FD0C5917A11.jpeg
    2D71EC97-4168-4726-A6CC-7FD0C5917A11.jpeg
    31.3 KB · Views: 8
Na hizi bumps za tanrods lazm tumbo livuruge mpaka nahisi zimewekwa kwa ajili ya hawa wameza ngada
Hapo inategemea kuna mambo kadha wa kadha yawezekena yamemkuta
1)pipi kupasuka ikiwa tumboni
2)wakati anameza pipi zilikaa vibaya tumboni
Zikafanya kumletea matatizo

Ndomana mmezaji akimeza anatakiwa kula vitu laini laini juice, keki,biskuti

Ova
 
Back
Top Bottom