Iringa Mjini: Makamu Mwenyekiti BAVICHA, Patrick Ole Sosopi akamatwa na Polisi

Kafata nini HOSPITALI hili ndio jambo la kwanza tunatakiwa kulifahamu...TUSIKIMBUILIE KULAUMU POLISI KUWAKAMATA HAWA WAPINZANI UCHWARA ESPECIALLY KIPINDI HIKI.....maana wao ndio wanatafuta kukamatwa ili kuwaaminisha wananchi ya kuwa WAPINZANI WANAONEWA....wanafanya hivi kuendelea kutengeneza chuki na kuikuza juu ya JESHI LA POLISI NA WANANCHI........

Kutembelea wagonjwa nayo imekuwa issue? Mother fanta!
 
Hii nguvu kubwa inayotumika kudhibiti wapinzani ingekuwa inatumika kwenye kupambana na matukio ya ujambazi tungesikia matukio ya uhalifu kwenye nchi yetu .
Huu uonevu una mwisho wake.
 
Zama za watu wa vijiweni, wavuta bangi, wababe-pori na waropokaji waliokuwa wanafahamika Kama "wapinzani" zimeisha. Ilikuwa Kama mdomo wako unaweza koropoka chochote basi unaitwa mwanasiasa. Hata CCM wapo akina Lusinde ila ngoja tuanze na wapinzani kisha tumalizie na huko. Siasa ni fani baba sio kufyatuka tu!
Uzuri siku hizi hata media haziwapi nafasi ya kuonyesha vidole juu wakati umenyanyuliwa Tanganyika jeki, unapote kimya kimya.
 
Kafata nini HOSPITALI hili ndio jambo la kwanza tunatakiwa kulifahamu...TUSIKIMBUILIE KULAUMU POLISI KUWAKAMATA HAWA WAPINZANI UCHWARA ESPECIALLY KIPINDI HIKI.....maana wao ndio wanatafuta kukamatwa ili kuwaaminisha wananchi ya kuwa WAPINZANI WANAONEWA....wanafanya hivi kuendelea kutengeneza chuki na kuikuza juu ya JESHI LA POLISI NA WANANCHI........
Mkuu,

Nivyema ujue chadema ni chama cha siasa kama ilivyo ccm na vyama vingine. Haitatokea kwa njia zozote zile uwazuie wanasiasa wa upinzani na uruhusu wa ccm kufanya hivyo. Hiki ndicho kinachopingwa. Polisi kutoliona ilo na kuwa professional referees kutazua moto uwanjani usiozimwa nawe au mimi.
 
Mmoja wa Richmond ndio bosi wako..endelea na wale wanaomfadhili wale wahindi, nao wako naye.
Naona unajaribu kubadilisha maana halisi ya huu uzi,. Nenda kaanzishe uzi mpya kuhusu haya unayotaka kuyalazimisha kwenye uzi wa jambo tofauti na unalolitaka.
 
Daa natamani na mimi nikamatwe naitetea chadema na haki za watanzania
 
Back
Top Bottom