GE2025 Iringa: Mgombea alivyo piga magoti na kulia mbele ya Wajumbe wa CCM akiomba Kura ya Ndiyo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

😀😀 Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe

Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama Sauti ya Simba, alipiga magoti na kutishia kulia machozi mbele ya wajumbe wa CCM Kata ya Kihesa, wakati akiomba kura ya ndiyo ili kupata ridhaa ya kuwania nafasi ya ubunge kupitia chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.

UTUMWA HUU KISA UBUNGE.
 
I wish ningekuwa Rais wa hii nchi! Hakika ningepunguza mishahara na posho za wabunge kwa 50-70% ili watu wa kugombea hiyo nafasi wawe ni wale wenye moyo na wito pekee wa kuwatumikia wananchi.
 
Wakuu!

😀😀 Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe

Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama Sauti ya Simba, alipiga magoti na kutishia kulia machozi mbele ya wajumbe wa CCM Kata ya Kihesa, wakati akiomba kura ya ndiyo ili kupata ridhaa ya kuwania nafasi ya ubunge kupitia chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.

Akajiajiri
 
Kubwa jinga wa muda mfupi akiwa kwenye unafiki wa siku zote kama mwanasiasa, baada ya hapo wananchi ndo watakwenda kumpigia magoti Kwa miaka mitano 🔥
 
Kodi za wananchi ujinga wao na uoga wa kutokuwa tayari kupambana na kwa silaha madhubuti na watekaji ndio zinatufikisha hapa
 
Una pua mbili 😂

Wakuu, hizo pua mbili zipo sehemu gani ya mwili?
 
Wakuu,

Hivi huku kama sio kujidhalilisha ni kitu gani?

Huyu anaitwa Nguvu Chengula na hapo alikuwa anatetea ugali wake

Ndugu wajumbe,zaidi wajumbe wazalendo kuleni vichwa vyote vya chawa na machawa,wanaojipitisha kuonekana ni wapigania watanzania na maslahi yao,huku wakiwa na hadaa nyingi wakiamini maneno ya chawa wao watawatoa Watanzania kwenye reli,ili malengo yao ovu yatimie bila kutokwa jasho.
 
Hivi kwanini sisi hatupendi kufanya kazi tupate kipato tunakomaa na hawa lia lia??

Sasa huyu bwana anae afya na nguvu si akalime tu

Chakula hamna watu wanataka kununua mchelel mahindi maharage si antenatal hela nyingi zaidi ya hizo??
 
Back
Top Bottom