Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,850
- 12,086
Mie nipo huku. Yaani geresha tuMafinga mjini kuna mgombea upinzani kweli
Chumi alipita bila kupingwaMafinga mjini kuna mgombea upinzani kweli
Chadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!
Chadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!
Consequences zake kwa chadema zitakuwa za muda mrefu sana, maana watu watauona mtazamo wa Lissu kuwa ndio mtazamo wa chadema!Tundu ndio alitia fora kila alipopita wananchi walikosa hamu ya kumfatilia wengi walijuta hata kwenda kumwona. Maana hajawahi ongea kwa wema chochote kinachofanyika au kilichofanyika tangu Tanzania kuumbwa. Alijua ndio ujanja kumbe hapo ndio alijipoteza
Mtu mzima akisikia hivi amekwishakujua.Chadema hali siyo nzuri Iringa mjini
Wasio na chama hatuwataki huku, Opposition sio mchekea, sio lelemama kiasi ata warembo Kama wewe m-joinChadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!