Iringa imemchoka Msigwa!

Mleta mada ukichoongea no kweli Lowasa nawenyekiti was CCM Iringa ndio waliwezesha Msigwa kushinda.Wabunge wengi chadema walishinda kwa kupitia Lowasa Sasa hivi hayuko chadema wengi wanaenda kudondoka hawapiti Tena.Ushauri want visenti wanavyopata wavitumie vizuri danabu uwezekano was wao kurudi bungeni haupo
 
Nipo Iringa hapa kura yangu kwa Msigwa hata iweje.
Kamwe katika maisha yangu siwezi kumpa kura yangu mbunge ambaye anaenda kusema "NDIYO MZEE" kwa kila kitu,nataka wabunge Kama akina Msigwa wanaoweza kuhoji.
 
Leo nilikuwa naongea na mfanya Biashara mmoja akasema kuwa ccm kumdondosha msigwa Iringa Labda wamweke agombee na Asas sababu kila LeoAsas anagawa hela sana kwa watu.
MTU anayegawa hela ubunge wa kazi gani, miafrica INA matatizo ya akili
 

Sasa unatuambia sisi umu JF ili tufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…