Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Umemchoka wewe si mbona ndo mpya kwetuNipo hapa Iringa ninachoshuhudia ni hali ngumu kwa Msigwa ambaye kwa sasa ni Mbunge kupitia Chadema.Mwaka 2015 Msigwa alipita kwa nguvu ya wafuasi wa Lowassa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa,dada mtangasavangu.
Hali ni ngumu kwa Msigwa sasa amefikia hatua ya kufanya makosa ya jinai ili akamatwe na polisi angalau kupata kisingizio cha kuzuiwa na polisi.
Nimalize kwa kusema Msigwa ni Mbunge mwingine ambaye anaenda kuridia kazi ya kuuza mitumba ili wana-Iringa wapate maendeleo.
Dah!!!Sawa tumekuelewa bibie.
Nipo hapa Iringa ninachoshuhudia ni hali ngumu kwa Msigwa ambaye kwa sasa ni Mbunge kupitia Chadema.Mwaka 2015 Msigwa alipita kwa nguvu ya wafuasi wa Lowassa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa,dada mtangasavangu.
Hali ni ngumu kwa Msigwa sasa amefikia hatua ya kufanya makosa ya jinai ili akamatwe na polisi angalau kupata kisingizio cha kuzuiwa na polisi.
Nimalize kwa kusema Msigwa ni Mbunge mwingine ambaye anaenda kuridia kazi ya kuuza mitumba ili wana-Iringa wapate maendeleo.
Wakudadavuwa ni mwanamke ?Sawa tumekuelewa bibie.
Sijui kwani ni Mwanaume huyu?Wakudadavuwa ni mwanamke ?
Nadhani wewe huijui Iringa.Nipo hapa Iringa ninachoshuhudia ni hali ngumu kwa Msigwa ambaye kwa sasa ni Mbunge kupitia Chadema.Mwaka 2015 Msigwa alipita kwa nguvu ya wafuasi wa Lowassa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa,dada mtangasavangu.
Hali ni ngumu kwa Msigwa sasa amefikia hatua ya kufanya makosa ya jinai ili akamatwe na polisi angalau kupata kisingizio cha kuzuiwa na polisi.
Nimalize kwa kusema Msigwa ni Mbunge mwingine ambaye anaenda kuridia kazi ya kuuza mitumba ili wana-Iringa wapate maendeleo.
Sema mama wawili!Sawa tumekuelewa bibie.
Ccm ilishachokwa kitambo wananchi hawana cha kufanya kama inapendwa msingehangaika kuwatuma polisi wazuie mikutano na kuwabambikizia kesisio msigwa tu
wananchi wameanza kuona upinzani
hamna kitu kelele mingiiiiii kupenda kesiiii
kuliko maendeleo ya majimbo yao....
Anakumbuka kunyonyesha watoto kweli.Sema mama wawili!
Hahahaaa......siku hizi wananyonyesha kweli?!Anakumbuka kunyonyesha watoto kweli.
Wananyonyesha ila huyu mda hana yuko bizze na chichiemu.Hahahaaa......siku hizi wananyonyesha kweli?!
Na ananyonyesha katoto ka mwezi mmoja.Wakudadavuwa ni mwanamke ?
Nilikaa na Sugu siku moja akaniambia lazima nifanye niwezavyo na Mimi nifungwe ili nipitie Yale aliyo pitia role model wangu 2-PAC na MANDELANipo hapa Iringa ninachoshuhudia ni hali ngumu kwa Msigwa ambaye kwa sasa ni Mbunge kupitia Chadema.Mwaka 2015 Msigwa alipita kwa nguvu ya wafuasi wa Lowassa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa,dada mtangasavangu.
Hali ni ngumu kwa Msigwa sasa amefikia hatua ya kufanya makosa ya jinai ili akamatwe na polisi angalau kupata kisingizio cha kuzuiwa na polisi.
Nimalize kwa kusema Msigwa ni Mbunge mwingine ambaye anaenda kuridia kazi ya kuuza mitumba ili wana-Iringa wapate maendeleo.
Kuna ukweli hapasio msigwa tu
wananchi wameanza kuona upinzani
hamna kitu kelele mingiiiiii kupenda kesiiii
kuliko maendeleo ya majimbo yao....
Haupo IringaUmemchoka wewe si mbona ndo mpya kwetu
Unajua kujiliwaza mpaka rahaSema rais kamchoka, na vile yeye ndio anaagiza tume ya uchaguzi na jeshi la polisi lihakikishe mwanaccm anatangazwa mshindi, hapo hakuna la kushangaza. Hao wananchi mnawatumia tu, lakini rais ameshaamua nani atangazwe mshindi chini ya awamu hii ya kujimwambafai.
Hujui kitu wenye akili akina Jafary wanaagaNadhani wewe huijui Iringa.
Msigwa hakushinda kwa sababu ya Lowassa bali itikadi za wanyalukolo na Msigwa alianza kumdondosha Monica Mbega 2010 ikadaiwa vijana walichukizwa kukatwa Mwakalebela.
2015 wakaletewa Fred kisingizio kikawa eti Mwakalebela ni Mnyachusa!
Kumng'oa Msigwa ni lazima CCM iweke mtu makini mkishindwa kabisa muwekeni mwarabu Salim Asas maana itakuwa hamna namna.