cc Kiranga & Nyani Ngabu​.
A scenario.
Mtu kaenda kwa mganga, kaambiwa kaweke chungu hiki chenye damu makaburini usiku.
Watu wamekuja asubuhi wamekuta chungu hicho, tayari kishaitwa "cha ajabu"
Wakati ajabu yenyewe nikiitafuta siielewi.
Uajabu wa chungu hicho haupo,labda matukio yaliotokana na chungu hicho ndio inawezekana ni ya ajabu kwani wakati anapalilia hilo kaburi hicho chungu hakikuonekana bali alikiona badae kikiibuka taratibu then damu inaruka juu wakati kimefunikwa kama vile ilikuwa inachemshwa.
kitambaa cha rangi ya kijani kipo, jembe lipo bado nyundo tu
Hakuna kitu ambacho hakiwezi kuelezewa na Chemistry / Physics hapo.
Hawa jamaa wana misimamo kuwa ushirikina haupo au haufanyi kazi, nilitaka nione wao wataelezeaje tukio kama hilo.Ngoja nikusaidie kuwaita kwa nguvu wakusikie; Kiranga na Nyani Ngabu njooni mnaitwa huku!
BTW kwani wao ni waganga wa kienyeji hadi uwaalike kwenye uzi huu?
Wewe mkuu hilo tukio unalionaje?vipi mbona mnamwita kiranga?...oooh, nilisahau kumbe uchawi, ukristo, uislam, budha vyote ni zao za imani na dini.