ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 651
- 589
ha haaa haaaaa,mkuu umenichekesha sana,unamaanisha ni mali ya ccm hizo tunguli!? Watu wana manenoo!!!!!kitambaa cha rangi ya kijani kipo, jembe lipo bado nyundo tu
ha haaa haaaaa,mkuu umenichekesha sana,unamaanisha ni mali ya ccm hizo tunguli!? Watu wana manenoo!!!!!kitambaa cha rangi ya kijani kipo, jembe lipo bado nyundo tu
Mkoa wa Iringa ni eneo zuri la utalii.Karibuni Iringa kwa utalii...kila kitu kipo..
kitambaa cha rangi ya kijani kipo, jembe lipo bado nyundo tu
Hawa jamaa kwa uchawi wa damu wanatisha!!Iringa hawatanii uchawi uko mpaka kanisani ndani
hamna kitu hapo
mbona hujasema msikitini??
Tena mtu huyo ni tapeli tu!Imani tu, kuna mtu kaweka kwa imani zake.
Ukitishika mkuu hao washirikina watakuwa wamefanikiwa kwako.Dah jamaa wanatisha