Ajali popote mkuu, acha uogaNimehairisha safar leo ili nisafir kesho from mbeya uyole to dar ningedaka bus lolote (probability ya kulidaka new force ilikua n 80%)
sasa nahairisha ad huu mwez ukatike
SIFI LEO
Golden deer ni New force mkuu. Kampuni Moja ile. Ukiangalia kwa Mbele utaona maandishi ya new forceKivip tena
Abiria kadhaa wanusurika kifo??????????Watu kadhaa wamenusurika kifo katika Mlima Kitonga Mkoani Iringa baada ya basi la kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea Dar es Salaam kugongana na gari nyingine linalodaiwa kuwa ni la Kampuni ya Golden deer lilokuwa likitokea Dar kwenda Tunduma na kisha kuanguka chini ya mlima huo wenye mteremko mkali.
Kaimu Kamanda Polisi wa mkoa wa Iringa, Deusdedit Kashindo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa taarifa za awali zinasema kuna majeruhi tu.
Nyang'oro ni iringa-dodoma,nyang'oro kona tu nyingi tu lakini hakuna mteremko mkali kama kitonga,kitonga aiwezi pita hata wiki usikute roli limeangukaMmh, kitonga inatisha lkn, huko Nyang'oro ndyo wapi hata sipafahamuu
Usicheze na kitonga mkuu kuna mteremko mkali sana ndo maana kila ukipita uwezi kosa kuta ajaliYes nimepazoea nkiwa na gari ndogo tena hasa manual ah unapita fasta tu chap,
Nyang'oro naona ndio danger zaidi kuliko kitonga
ila kumbuka kitonga magari yanayopita hapo ni mengi kwa siku ukilinganisha na nyang'oloUsicheze na kitonga mkuu kuna mteremko mkali sana ndo maana kila ukipita uwezi kosa kuta ajali
hapa Kama kuna binadamu mnafiki Wewe unaongoza yani mabasi yanayopata ajali kila kukicha unayatetea hebu hesabu katika kipindi cha miezi sita new force ngapi zimeanguka!???watu wangapi wamekufa na kuumia!???mbona city boy ilifungiwa!???tungekua tuko makini tuneyasimamisha hatamabasi tujue chanzo ni ninii???Roho mbaya usikute hata mokoteni huna
Kawaida yangu huwa sibishani na wasiojua !!!???.Roho mbaya usikute hata mokoteni huna