Baringongo
Member
- Dec 12, 2016
- 97
- 91
wamekufa au wazimaKitonga Leo.
Hawa wachina watatumaliza!View attachment 899760
Picha zaidi zinakujaDuu.mbona picha umepiga kwa uoga?
Taarifa za awali hakuna vifo ni majeruhi tu.wamekufa au wazima
Kitonga Leo. Hawa wachina watatumaliza!
=====
Basi la kampuni ya New Force lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Dar limepata ajali katika mlima Kitonga, Kaimu RPC Iringa amethibitisha.
View attachment 899760
GariAjali imesababishwa na nini??
Haya magari tatzo yapo mengi sana ndo mana alafu yana kuaga na madereva wawil cjui tatzo ninAya mabasi ni yakufungia kabisa sasa
Kwa kuanzia hizi in habari njema ashukuriwe Mungu wa mbinguni muumba mbingu na nchi aliyeumba vinavyoonekana na visivyoonekanaTaarifa za awali hakuna vifo ni majeruhi tu.