Irene uwoya ulilazimishwa ndoa ama uliamua kutoa gundoa la kuolewa??

hivi kwanini tulio wengi tunapenda kushughullika na maisha ya watu kuliko ya kwetu HII NI DALILI YA MTU ALIYESHINDWA unatafuta pa kupumulia masifuri yako
 
hivi kwanini tulio wengi tunapenda kushughullika na maisha ya watu kuliko ya kwetu HII NI DALILI YA MTU ALIYESHINDWA unatafuta pa kupumulia masifuri yako
Umenena mdau, who cares?!! after all its her own demn business je kama alikuwa anaigiza movie??
 







  • ukiangalia picha hizo dogo p.diddy, utaona kwamba binti huyo ni mzuri sana wa sura na hiyo ndio sababu ya kuolewa kwake na si kama unavyojaribu kuushawishi dunia; hatudanganyiki acha wivu!

Wakuu huyu binti yuko vizuri sura imetulia hakika Ndikumana kapata kipusa haswaa sijui tabia lakini sura iko mahali yake bana.
 
umenena mdau, who cares?!! After all its her own demn business je kama alikuwa anaigiza movie??

ukianza kubishana namigubelli isiofikiria kuoa/kuolewa leo wa kesho unatarajia nini???ze same above
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…