Irene Mpenzi, Kosa si langu ni la Voda

Irene Mpenzi, Kosa si langu ni la Voda

!
!
stick by the rules.....dont chase just replace. Team 'no regreat' zipo option kibao, chagua kati ya hizi zifuatazo
1. Replace
2. Ride solo
3. Be a producer of the movie
....imetosha bana kuumizana,au yeye ni oksijeni kwamba huwezi ishi bila yeye?
ma@ani tupa kule maisha yanasonga kama kawa.

Nampa masaa 24 ya kukaa na kujitathimini, endapo hata badili uamuzi basi nitachagua rule namba moja!
 
Hahaahahahaaaaa., hivi hawa jamaa wanajua kuwa hizi jam zao za mitandao yao zinasababisha mifarakano ndoani na mahusianoni??
 
pole sana mkuu na airtel wakikufanyia hivyo utahamia mtandao upi?
mfuate aliko irene mkayamalize yanazungumzika hayo.

Ila voda nao ni wakati wao wa kuwa makini. Nitafuata ushauri wako mkuu
 
Hahaahahahaaaaa., hivi hawa jamaa wanajua kuwa hizi jam zao za mitandao yao zinasababisha mifarakano ndoani na mahusianoni??

wanajua mkuu ila viburi tu. Wanatuonea sana mkuu
 
Nampa masaa 24 ya kukaa na kujitathimini, endapo hata badili uamuzi basi nitachagua rule namba moja!

!
!
good thing with our team is you can apply all option available kwa mara moja muhimu uwe producer cum director wa hiyo muvi. Unaweza kuwa nae kimuvimuvi wakati kiukweli ushareplace zamaani au unaride solo kitambo tu. Wewe ndio wa kuamua sio swala la kupeana muda. Muda wa mabadiliko ndio huu. Join "team no regrets".....be ready for whatever. Hakuna jipya bana, scene zote zilezile tu kinachobadilika ni wahusika location na muda tu.
 
kama network inamkimbiza, ikitokea shida ya kiuchumi itakuwaje, dat not a wife material alitakiwa akusubiri akuone muongee then ndo aamue huyo atakuwa na chaka lake sasa amepata kaupenyo
 
kama network inamkimbiza, ikitokea shida ya kiuchumi itakuwaje, dat not a wife material alitakiwa akusubiri akuone muongee then ndo aamue huyo atakuwa na chaka lake sasa amepata kaupenyo

hapo kwenye kaupenyo pameniumiza
 
airtel ndo majanga kabisaaa bora ujibakie zako huko hko voda
 
mahaba nichanganye kama bunge la katibu thimu tu thiku moja looh labda ameona liquidity yao inasuasua haha natania tu piga chini chapa lapa
 
"Uliapo sitokufuta chozi, bali nitalia nawe,
Sitokukataza uondokapo laaziz, nitaondoka nawe,
Sitokudaka uangukapo mpenzi, nitaanguka nawe,
Nitakutunuku hata yangu pumzi, nife mimi uishi wewe"

Haya ni maneno yako Irene. Uliniambia kwa kinywa chako mpenz wangu ni vipi leo umeyasahau? Mbona leo unanitelekeza Irene?

Natambua kuwa jana ulinihitaji sana. Ulihitaji angalau kupata ujumbe wa huba kutoka kwangu, ulihitaji faraja kutoka kwangu, ulinihitaji mimi, ila kati ya yote hayo hakuna nililolifanya, niliurarua moyo wako.

Irene barafu wa mtima wangu, sikukusudia kufanya hilo ila voda ndio tatizo. Muda wote simu yangu iliandika "emergency call". Nilishindwa kuwasiliana nawe mke wangu sababu ya voda. Message zote thelathini ulizonitumia zimefika leo asubuhi, message ya mwisho uliandika, "Asante mpenzi, umenitenda sana... endelea na maisha yako"
Aah Voda mmeniharibia ndoa tarajiwa na nasema hivi leo nawahama!!! nahamia Airtell! NAWAHAMA VODA MMENIKWAZA SANA.. NDOA TARAJIWA IPO SHAKANI!!! VODA! VODA! AARRGH

Huna mke hapo huyo anakufanyia isanii tu kama kashindwa kukuvumilia kwa jambo dogo kama hilo je siku akiziona picha za vidosho wako wa zamani!
 
hahahahahaaaaa nimecheka kama mazuri mweeeeeeee pole sana ndugu mweleweshe fresh tu
 
Back
Top Bottom