Sio demanded kabisa mkuu sasa hivi tunataka madaktari, manesi, walimu wa sayansi na English, architects, land surveyors, valuers, wafamasia, mainjinia, wataalam wa maabara, wadaktari wa mifugo, madaktari wa meno,wataalam wa wanyama pori ! Nyie watu mliosoma Kozi za biashara,uchumi, social sciences hamna ajira kabisa.