Iraq: Kambi ya Jeshi yashambuliwa na makombora zaidi ya 10, watatu wafariki dunia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1583990598478.png

Two US troops and a British service member perished in a rocket attack on Camp Taji, the Iraqi base outside Baghdad that hosts US-led coalition troops. Another 12 have been wounded.

A total of 18 rockets struck the base on Wednesday, the US-led coalition against Islamic State (IS, formerly ISIS) said in a statement. The dead and wounded have not been officially identified, pending the notification of their next of kin.

In a statement early on Thursday, the Iraqi president’s office condemned the “terrorist attack” that left both trainers and advisers killed and wounded.
This attack is targeting Iraq and its security, and we stress the need to conduct full investigations to determine its background and track the elements responsible for it.
Earlier reports spoke of 10-15 rockets fired on Taji.

US Central Command spokesman Captain William Urban confirmed that two of the coalition casualties were American servicemen. On Thursday morning, the UK Defense Secretary released a statement, announcing that the attack also resulted in the death of a member of the Royal Army Medical Corps.

Camp Taji is a major military base about 27 km north of Baghdad, used by the coalition to train Iraqi security forces. This is the second time it has come under rocket fire since January, when an Iraqi soldier was injured. No group claimed responsibility for these attacks.

Local media have already reported US jets launching reprisal air strikes against a number of Iraqi Shia militias in the Anbar province neighboring Syria, as well as inside Syria.

These militias were also blamed for the December 2019 rocket attack that killed one American at the K-1 air base outside Kirkuk. US reprisal strikes kicked off a cycle of escalation that involved an attempted storming of the US embassy in Baghdad, a US drone strike that killed Iranian Revolutionary Guard Corps General Qassem Soleimani in January, and Iranian reprisal involving the targeting of two Iraqi bases that hosted US troops with ballistic missiles.

The Taji incident comes as the Pentagon and Baghdad are locked in a dispute over bringing additional US missile defense systems into Iraq. The US is insisting on doing so, citing an increased threat from Iran, while the Iraqi government continues to insist that all foreign forces should leave the country, as it said in the aftermath of the Soleimani assassination.

Source: Russia Today
 
Mm sjataja kuhusu Makari walann, Swali ni kuwa je wameenda kufanya nn nchi za watu? Wameshaambiwa hawatakiwi ni magaidi wanauwa raia wasiokua na hatia so kwa nn wapo mpaka leo wanafanya nn?
Huwa nashangazwa namna ambavyo US akipigwa unafurahi ila wakipiga unawaona kama waonezi. Kwako wewe Iran na mgambo wao ndio watu. Ila Makafir na Mazayuni ni nguruwe. What a position

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm sjataja kuhusu Makari walann, Swali ni kuwa je wameenda kufanya nn nchi za watu? Wameshaambiwa hawatakiwi ni magaidi wanauwa raia wasiokua na hatia so kwa nn wapo mpaka leo wanafanya nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Iran anafanya nini Lebanon, Syria, Yemen na Iraq? Ni chi zake hizo?

Iran kupitia Hashd al Shaabi wanawatenda vibaya Wasunni na Wakurdi, tu kwa sababu yeyni ni Mshia. Na anataka kuigeuza Iraq pia iwe satellite state.

Ujue tu kwamba haya mataifa yana interest zao na hayajawahi kuzificha. Marekani anapenda kuwa dominant na ana interest za rafiki yake mkubwa Israeli. Iran nae anataka kueneza uislam wa dheheb la shia dunia nzima. Hakuna malaika hapo. Ukiona mwingine ni malaika na mwingine shetani ujue aidha ni kipofu au una mahaba binafsi.

Wekeni nguvu hizo na Bongo iwe superpower basi!
 
Iran huko kote alipoenda kaalikwa, sasa marekani kaalikwa na nani? Wameshamuambia hawamtaki still bado yupo, kuhusu bongoland mkuu apa hatuko huru, ukijitolea kuwekeza nguvu zako apa utakumbana na vikwazo vingi kutoka kwa wakuu so ni ngumu kutumia au kuwekeza bongo

Nadhani naongea na mtu asiyejua historia au umeamua kuwa kipofu.Soma historia ya hizo nchi uone Iran anavyoondoa tawala na kuweka mamluki wake.
Hezbollah was founded in the early 1980s as part of an Iranian effort to aggregate a variety of militant Lebanese Shia groups into a unified organization. Hezbollah acts as a proxy for Iran in the ongoing Iran–Israel proxy conflict

Kajisomee baada ya mapinduzi ya kiislam, Iran imefanya mapinduzi kwenye nchi ngapi.

Kwa taarifa yako Marekani huko Iraq kaalikwa tena kwa maandishi na mkataba. Ndio maana ana kibr. Kama Marekani kaalikwa na bado unasema ni mvamizi inakuwaje kwa Iran iwe todauti?

Anyway unaweza endelea kuwashabikia maana kwako ni Watakatifu.
 
Kwani Iran anafanya nini Lebanon, Syria, Yemen na Iraq? Ni chi zake hizo?

Iran kupitia Hashd al Shaabi wanawatenda vibaya Wasunni na Wakurdi, tu kwa sababu yeyni ni Mshia. Na anataka kuigeuza Iraq pia iwe satellite state.

Ujue tu kwamba haya mataifa yana interest zao na hayajawahi kuzificha. Marekani anapenda kuwa dominant na ana interest za rafiki yake mkubwa Israeli. Iran nae anataka kueneza uislam wa dheheb la shia dunia nzima. Hakuna malaika hapo. Ukiona mwingine ni malaika na mwingine shetani ujue aidha ni kipofu au una mahaba binafsi.

Wekeni nguvu hizo na Bongo iwe superpower basi!
Ulimuona Iran kabla marekani hajavamia hizo nchi? Wairaq Syria libya waliishi kwa amani kaja wavuruga kisingizio democracy na kuiba mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani naongea na mtu asiyejua historia au umeamua kuwa kipofu.Soma historia ya hizo nchi uone Iran anavyoondoa tawala na kuweka mamluki wake.

Kajisomee baada ya mapinduzi ya kiislam, Iran imefanya mapinduzi kwenye nchi ngapi.

Kwa taarifa yako Marekani huko Iraq kaalikwa tena kwa maandishi na mkataba. Ndio maana ana kibr. Kama Marekani kaalikwa na bado unasema ni mvamizi inakuwaje kwa Iran iwe todauti?

Anyway unaweza endelea kuwashabikia maana kwako ni Watakatifu.
Lebanon asilimia 80 ni shia 15 ni Orthodox Christian's na 5 ndio Sunni Iraq shia Ni asilimia 80 sawa na Syria vp aende kueneza ushia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani naongea na mtu asiyejua historia au umeamua kuwa kipofu.Soma historia ya hizo nchi uone Iran anavyoondoa tawala na kuweka mamluki wake.

Kajisomee baada ya mapinduzi ya kiislam, Iran imefanya mapinduzi kwenye nchi ngapi.

Kwa taarifa yako Marekani huko Iraq kaalikwa tena kwa maandishi na mkataba. Ndio maana ana kibr. Kama Marekani kaalikwa na bado unasema ni mvamizi inakuwaje kwa Iran iwe todauti?

Anyway unaweza endelea kuwashabikia maana kwako ni Watakatifu.
Kinacho muweka pale sio kitu kingine Ni mafuta tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom