Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
USA walidhania adui yao mkubwa kijeshi ni Russia tu wakawasahau Iran na madhara yake ndio hayaWairan wanamstahi Natenyahu/Israel lakini kuna siku Iran ita spring up suprise by hitting Israel where it hurts the most by seeing to it that Israel is destroyed back to stone age era and will never rise again kuwa tishio la kuvuruga amani mashariki ya kati na Duniani.
Jeuri ya Israel inasababishwa na umilikaji wao wa thermo nuclear bombs 300+ bado wanajifanya kwamba ndio Taifa pekee mashariki ya kati wenye kumiliki WMD, hivyo wanaweza kutamba mashariki ya kati bila ya kuhofia chochote,siku moja dhana hiyo itaigharimu Israel an arm and leg. Natenyahu na genge lake wakae walijua kwamba wana sayansi wa masuala ya Nuclear wa Iran na Pakistan wanashirikiana kwa karibu sana, Pakistan yenyewe ni mabingwa wa ku-manufacture nuclear bombs sina shaka wamekwisha wafundisha wa Iran jinsi ya ku-assemble Hydrogen bombs(Nchi za magharibi uhofia kwamba ushirikiano wa Pakistan na Iran utazalisha so called Islamic thermo nuclear Bombs)sina shaka Wairan mabomu hayo wanayo ingawa hawasemi,vile vile hivi sasa Iran imekwisha master jinsi ya kuhunda delivery systems za kubeba mabom hayo mpaka kwenye designated target with dead accuracy ,kumbuka jinsi makambi ya kijeshi ya Merikani zilivyo shambuliwa na kuharibiwa na Ballistic missiles zilizo vurumishwa kutokea Iran kwenda Iraq, ujuzi wa kuhunda Ballistic Missiles Wairan walifundishwa na wataalamu kutoka North Korea.
wameshakuwa super power na kibaya zaidi wana kauli mbiu yao ya kibabe "kila pigo litajibiwa kikamilifu"
hawa iran wameshamaliza kila kitu duniani ispokuwa kuingia vitani na USA na Israel (hichi ndio kitu pekee walichobakiza kabla ya unyakuo)
Sent using Jamii Forums mobile app