Iranian woman condemned to death by stoning. Is she dead already? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iranian woman condemned to death by stoning. Is she dead already?

Discussion in 'International Forum' started by Kanyafu Nkanwa, Aug 17, 2010.

 1. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hivi, tuna matatizo gani sisi walimwengu humu Duniani? Huyu mwanamke wa watu wanamuua ati kwa sababu ya Umalaya, hivi hao wauwaji wenyewe wamejiangalia nafsi zao? Alafu, Umalaya si wa kwake mwenyewe, wengine wana shida gani na maisha yake?

  Naamini Mwenyeji Mungu, moja ya kesi zitakazo mpa unafuu katika kuamua ni pamoja na kuwashughulikia ipasavyo watawala wa Himaya kama hizi: Iran.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Rip
   
 3. T

  Tiger JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  1) Sijawahi kusikia mwanaume anataka kupigwa mawe kwa kosa hilo?(kama wapo niambieni).
  2) Kwani hii sheria(sharia) ni kwa wanawake tu?
  Nakumbuka kuna yule dada/mama aliyeponea tundu la sindano kule Nigeria.
  4) Hivi hao wanaume wanaofanya nao mapenzi huwa wanachukuliwa hatua gani?
  Hizi sheria bana, sometimes mi naona kama uonezi tu. Ndiyo maana wengine wanaamua kukaa bila dini tu.
   
 4. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nadhani muhimu tu kujibu maoni ya Tiger. Maana huku kuheshimiana, kunaweza geuka iwapo ikatokea dada yangu akaolewa huko na baadaye wamfumanie na kumtwanga mawe! Hata wewe mwenyewe ukisikia dada yako anatwangwa mawe ati kafumaniwa, sijui itakuwa dini hiyo? Kuishi kwa kuheshimiana kutakufa nadhani.
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  We acha kabisa! Uko somalia mwanamme alitandikwa viboka mpaka makalio yakatoa moshi! Jaribu kufanya hivyo somali ndipo utaijua hii sheria. Pia angalia hii link Somalia – Another Death By Stoning
   
 6. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mbaya sana sana vitu kama hivi. Wapiga mawe ndiyo wazinzi wakubwa
   
 7. T

  Tiger JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Asante mkuu, nimeisoma hiyo.
  Ila huyo wa Iran mbona namsikia yeye tu, au mwenziwe katoroka?
  Na yule wa Nigeria je?
   
 8. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hapo ndipo penye utata. Mzinzi mmoja. Wenzake wako wapi?!
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280

  [​IMG]  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  • • • • •

  • • • • •
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  • • • • •


  [​IMG]

  [​IMG]
  • • • • •  Ibrahim is buried in the ground before he was stoned to death by militants in Afgoye, a district Somalia, Sunday. A local Islamist court sentenced the victim to death by stoning after he was found guilty of committing adultery while married.


  Somali Man Stoned To Death By Militants For Adultery (GRAPHIC PHOTOS)


  On Sunday, Islamic militants stoned a man to death for adultery in front of hundreds of local residents in Somalia. The man, named Mohamed Abukar Ibrahim, 48, was killed by members of the rebel group Hizbul Islam in Afgoye, 20 miles from the capital Mogadishu, according to the AFP. A second man, Ahmed Mohamoud Awale, 61, who was accused of murder, was shot to death. Hundreds of villagers were forced to watch the stoning by the militants, multiple reports said.
  The girl with whom Ibrahim was accused of having an affair received 100 lashes; she escaped being put to death because she was not married at the time of the alleged sexual relations.
  As multiple reports noted, this was the first time Hizbul Islam had carried out these type of executions -- such punishments are more commonly associated with the Shabaab, a hardline militant group that is said to be an al-Qaeda proxy in the African state.
  Below are photos, from the AP, of Ibrahim's stoning. Please note: They are extremely graphic and do show Ibrahim after the stoning.

  Source: Somali Man Stoned To Death By Militants For Adultery (GRAPHIC PHOTOS)
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Kumbukumbu la Torati/ Chapter 22 22. Akifumaniwa mtu mume amelala na mwanamke aliyeolewa na mume, na wafe wote wawili, mtu mume aliyelala na mwanamke, na yule mwanamke naye; ndivyo utakavyoondoa uovu katika Israeli.

  23. Pakiwa na kijana aliye mwanamwali ameposwa na mume, na mwanamume akimkuta mjini, akalala naye;
  24. watoeni nje katika lango la mji ule, mkawapige kwa mawe hata wafe; yule kijana, kwa kuwa hakupiga ukelele, naye yu ndani ya mji; na yule mume, kwa kuwa amemtweza mke wa mwenzake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

  25. Lakini yule mtu mume kama akimkuta kondeni kijana aliyeposwa, naye mume akamtenza nguvu, akalala naye; yule mtu mume aliyelala naye na afe pekee;
  26. lakini yule kijana usimfanye neno; hana dhambi yule kijana ipasayo kuuawa, kwa kuwa ni mfano wa mtu kumwondokea mwenzake akamwua, ni vivyo lilivyo jambo hili;
  27. kwani alimkuta kondeni; yule kijana aliyeposwa akalia, pasiwe na mtu wa kumwokoa.


  Kumbukumbu la Torati/ Chapter 23 17. Pasiwe na kahaba katika binti za Israeli, wala pasiwe na kahaba katika wana wa Israeli wanaume.
  18. Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya Bwana, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yo yote; kwani haya ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako, yote mawili.
   
 11. T

  Tiger JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145

  Hakuna mtu anayeweza kufanya mapenzi akajipa mimba mwenyewe.
  Hilo wanalijua wazi, sasa iweje wasitafute kila namna ya kumpata huyo mwanaume "mzinzi"
  Kwa kuwa huyo mmoja anakuwa na physical evidence basi ndiyo afe pekeyake?
  Hebu jiulize, kama huyo dada/mama angekuwa dada/mama yako, ungekuwa wa kwanza kumtoa hadhalani?
  Hao wanaompiga mawe ni wasafi?
  Wewe ni msafi?

  JF: "Where We Dare To Talk Openly"
   
 12. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapo kwenye nyekundu nadhani ulimaanisha 'achana'. Hata Kiswahili kinachakachuliwa!
   
 13. T

  Tiger JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Unaweza kutoa maelezo kidogo hapo?
  Mi naona mistari ya Biblia tu.
  Au unataka kunikumbusha ile habari ya yule mwanamke aliyepelekwa kwa Yesu kwa kosa la "uzinzi"
  Halafu jamaa walipoambiwa "ALIYE MSAFI NA AWE WAKWANZA KUTUPA JIWE"
  wakaingia mitini?

  Wewe ni msafi?
  Ungekuwa wa kwanza kutupa jiwe?
   
 14. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :mad2: Hakuna mwenye haki hata mmoja
   
 15. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  MUNGU wasamehe, hawajui walitendalo.
   
 16. paradox

  paradox Senior Member

  #16
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona ni mambo ya kawaida sana?? Death by stoning is the capital punishment for anyone who seriously breaks Sharia law, na kwa wale wanaosema eti 'Mungu awasamehe, hawajui walitendalo', unafikiri wanawaua hawa watu kwa jina la nani??? Shetani?? Ni Mungu huyo huyo unaomuomba awasamehe.
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ndiyo maana ninaamini kuwa baadhi ya dini zinaabudu mungu hoax kwa sababu haiwezekani wote mseme mnamwabudu Mungu na kati yenu wengine mnatangaza amani, upendo na kusameheana na wengine kumwaga damu/kuua ni sehemu ya ibada na wote mkadai mnamwabudu Mungu huyo huyo. Some religions are a very wrong way to God.
   
 18. paradox

  paradox Senior Member

  #18
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  And who would you be to pass that judgement?? Are you trying to say that the God of the Muslims is a hoax? He is the same God you (a Christian I'm sure) worship, the only difference is that he is the Old Testament God, who is (and I quote from Richard Dawkin's book "the God Delusion') "Arguably the most unpleasant character in all fiction: jealous and proud of it; a petty, unjust, unforgiving control-freak; a vindictive, bloodthirsty ethnic cleanser; a misogynistic, homophobic, racist, infanticidal, masochistic, capriciously manevolent bully." now then tell me what more can you expect from the followers of such a God??? The only good thing about your New Testament God and his (I quote Dawkin's again) "insipidly opposite Christian face, 'Gentle Jesus meek and mild'." Is that he makes you guys more humane and that is only because of the addition of that milksop Jesus in your Bible, other than that you are both worshiping the same ludicrous 'God', infact the world would be a much better place with the eradication of this God complex, it would be a much less violent and kinder place in my opinion.
   
 19. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hii imeungwa ungwa au ndiyo yenyewe? Kwa kweli Dunia hii ina shida sana.
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu ndiyo sababu hatuitaki mahakama ya kadhi Tanzania. Shariah haimtambui mwanamke kama binadamu ila kama chombo tu ambacho kikishatumiwa kinatupwa tu (uawa).
  Subiri haya mambo yataanza kenya muda si mrefu.
   
Loading...