Irani yaishangaza dua

Unajua ni drone ngapi ambazo Irani hawawezi kuzidungua?
 
Uko sahihi...bro'
Kwa watu kama sisi wenye Teknolojia butu ndio tutashangaa... Lakini Weledi katika Uga huu wanajua kupambana na kila Mbinu ya Adui. Jeshi la Ulinzi la Iran IRGC wameushangaza dunia kuwa hata Ndege iwe ya kiitaalamu kiasi hicho na yenye mbinu za Kijasusi. Mitambo yao bado ina uwezo wa kugundua.

Tusubiri tutafahamu walitumia njia gani?
 
Hivi kwa nini maraisi wa US wakikaribia kuondoka wanaanzisha vita? Ona Bushi, Ona Obama, Ona huyu Trump nae.

Nasikia aliruhusu vita halafu wakati wanaanza kufanya maandalizi akasitisha ghafla.

Pia wana take advantage ya nchi washirikia wa mashariki kutokuwa na umoja. Hivi leo tungesikia China wamesogeza manoali zao, Urusi wamesogeza na propaganda zikaanza haya mambo yangeisha.
 
Salute Iran 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Endelea kuota.Pumbaavu USA.Ashachezea za uso.
 
Mwandiko mbaya
Acha kumezesha watu ujinga wako huo,kabla ya yote type source ya habari yako hii,Unaisifia Drone utafikiri umeitengeneza we we.Weka hapa source ya habari hiyo!!!
 
Mikwara tu hii mbona mpaka sasa hawajatuma hata bomu la chupa na mchanganyiko wa petrol nchini Iran. ...Jamaa wana mikwara sana. .Walikuwa zamani now days hakuna anaye waogopa
Mabomu watakayoangushiwa usiku wa kuanzia leo na siku chache zijazo cha moto watakiona.
 
Hahaha acha masihara mkuu
Jeshi letu...ni jeshi lipi lile tunaloona kwenye TV wakupasu matofali kifuani na Kulalia Msumari au la kuvuta Pikipiki kwa Meno na Kuchezea Nyoka. Jeshi letu lipi lile ambalo la lilitangaza kupambana na Maandamano ya Mange kimambi.

Bro Jeshi lipi hilo??? Unalosema linaweza kidungua ndege ya Kijasusi ya Marekani???
 
Putin akitia neno tu jamaa huufyata. Kule Venezuela pia walitaka kuweka kibaraka chao baada ya Putin kutia mguu wakasepa hawaizungumzii tena Venezuela. Kwa sasa mtemi wa dunia ni Putin.

Mikwara tu hii mbona mpaka sasa hawajatuma hata bomu la chupa na mchanganyiko wa petrol nchini Iran. ...Jamaa wana mikwara sana. .Walikuwa zamani now days hakuna anaye waogopa
 
JUST IN: A US official with direct knowledge says a military operation to strike Iran was set to begin last night when President Trump called it off. The official spoke on the condition of anonymity because of the sensitivity of the information. cnn.it/2L5n3Zn

Mikwara tu hii mbona mpaka sasa hawajatuma hata bomu la chupa na mchanganyiko wa petrol nchini Iran. ...Jamaa wana mikwara sana. .Walikuwa zamani now days hakuna anaye waogopa
 
Kwa hiyo mkuu --umewaamini ''"sio kwamba wameamua kufikia huo uamuzi baada ya kuuona moto wa Iran kuwa hauzimiki. ..Halafu mbona kule Venezuela wamekimbia '? Haha
 
Sio mimi niliyesema aise... umekosea kuni quote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…