Irani yaishangaza dua

Mkuu umeandika vizuri lakini taarifa yako imejirudia rudia baadhi ya paragraph (ingawa hii ni copy,cut and paste).Hukugundua hilo au ilikuwa ni haraka ya kuwawahi akina Britannica,Gentamycine,Money Penny,Demis,Edelyn,Bujibuji na wengineo wasije kutoa taarifa ya namna hii??

Kingine ulichoharibu ni uliposema"kwa taarifa nilizonazo".Taaifa wewe unazo?Nani amekupa?Au taarifa toka vyanzo mbali mbali vya habari?

Ungesema vyanzo vya habari vimeeleza/vimefafanua mfano;BBC,CNN,ALJAZIRA,SOCIAL MEDIA MBALIMBALI nk.ungeeleweka.

Umejifanya kuwa wewe ndio source ya information wakati umesoma vyanzo mbali mbali vya habari.

Na hapa wapuzi wenzio watakuona mkali wa breaking news kweli kweli.

Muda wa kukata gogo,nawahi halafu nitarudi baadae Mkuu.
 
Teh teh eti mkali wa brekingi nyuzi [emoji23]
 
Unacheka?Ilibaki kidogo uone hongera zikimiminika kwa mkali huyu wa breaking nyuzi(copy,cut,paste) bila ku-acknoledge other sources.

Hehehehehehe!!
Teh teh eti mkali wa brekingi nyuzi [emoji23]
 
Unacheka?Ilibaki kidogo uone hongera zikimiminika kwa mkali huyu wa breaking nyuzi(copy,cut,paste) bila ku-acknoledge other sources.

Hehehehehehe!!
[emoji16]Daah haya mkuu ngoja tuingie kwenye majukumu ya kujenga taifa.
 
Kumbe drone ni kubwa hivyo nikajua ndo ndogo kiasi cha kua na upana wa mita 1 tuu...duuh
kumbe tumefanana mawazo mkuu hata mimi nilikuwa nafikiria drone ni kama hizi zinazotumika na kina dai domo kurekodia video kumbe makubwa mno.
 
Sijaelewa: ina maana waliisambaratishia mbali au waliiteremsha na wanayo?
Huwezi kuishusha ukawa nayo, hizo mashine huwa zimefungwa mechanism ya self destruction pale inapodunguliwa. Faida inayopatikana ni ushahidi wa masalia tu.
 
kumbe tumefanana mawazo mkuu hata mimi nilikuwa nafikiria drone ni kama hizi zinazotumika na kina dai domo kurekodia video kumbe makubwa mno.
Kweli mkuu kumbe ni dege kubwa kabisa !
 
Haikuweza kudetect kombora la irani kwa sababu hiyo,kuwa detection devices zilikuwa zimezimwa laa zisingezimwa wasingeweza idungua
 
Haikuweza kudetect kombora la irani kwa sababu hiyo,kuwa detection devices zilikuwa zimezimwa laa zisingezimwa wasingeweza idungua
Sasa walionaje kwenye radar kama transponders zilizimwa na hata zingekua on wangeidungua tu drone kama ile haina offensive mechanism ya ku neutralize missile

Na kwaku zima hizo transponders na vifaa vingine ili isionekane hapo wamekiuka international rules za aviations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…