Irani yaishangaza dua



All in all Russians must be behind it, Iran can't do it by itself.
 
Wait and will see, Iran have did very big mistake" Trump
 
Mkuu naona ghafla umekua mbunifu wa kujifariji. 😂 😂 😂 😂


Warusi na wairani wanashirikiana kijeshi kwa siri kubwa kwa kuona hilo ndipo Saudia nadhani miaka 2 iliyopita iliingia mkataba wa mabilioni ya dola kununua vifaa vya kisasa vya kivita kutoka Marekani--- hii yote ni hofu juu ya nguvu za kijeshi za Iran na Russia.

Ikumbukwe kwamba Russia ipo juu duniani katika "defensive systems", hivi sasa katia saini mkataba wa ushrikiano na Turkey kuanza kutengeneza hizo silaha za kinga huko Turkey na hii ni baada ya Marekani kumpiga mkwara Turkey alipotaka kununua hizo silaha za kinga kutoka Russia.
 
Mie sina upande bali I am telling it as it is. Lini mie nilikwambia ni Mmarekani!? 😳

Umeona humu ninavyowapinga hao Taifa teule la Israel? Nisome kwa kituo badala ya kuhitimisha vile utakavyo weye.

Hata kwa kiduku mlisema hivyohivyo bana hatuwaamini tena nyie wamarekani.hahahaaaa mmekua kama kinyago
 
Mbona kwa mkorea kashindwa?
Mie sina upande bali I am telling it as it is. Lini mie nilikwambia ni Mmarekani!? [emoji15]

Umeona humu ninavyowapinga hao Taifa teule la Israel? Nisome kwa kituo badala ya kuhitimisha vile utakavyo weye.
 
Ni wakati wa Marekani kujitathmini upya ile heshima ya kuvimba imeenda wapi?

1.Huawei tu wamekausha hakuna kujishusha.
2.Drone limeporomoshwa na Muajemi.
3.Trump katoa mkwara baada ya drone kushuswa alipoulizwa na waandishi wa habari kuwa utapeleka jeshi kuishambulia Iran?? kabaki kujibu "You 'll find out"-! [emoji23]
 
Vitu sio mchezo mjomba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…