Iran yazindua mfumo wa kisasa wa makombora wa Khordad 15...unapiga mpaka kilometa 150

HUYO JAMAA ANAELEMENT ZA KISHOGA, YAANI HAONI UNYAMA ANAOFANYA SAUDI KUUWA RAIYA KILA DAY KAMA SI UGAIDI ANAOFANYA NI NN, KILA SIKU ANAWANYONGA RAIA WAKE


Mpenda Shia bwana

Hata Sala tu huendi kisha unajiona we ndio mrithi wa dini
 
SAFI SANA IRAN UWANAUME WA DUNIA NI KUTENGENEZA SILAHA KALI NYUMBANI SIYO KUAGIZA, IRANI ALISHASHTUKA AKAWEKEZA MABILION YA DOLLAR KTK KUTENGENEZA SILAHA NA MKUMBUKE KUWA IRAN ANA PESA ZA KUTOSHA NAJUA HATA MABEBERU WANAJUA NDO MAANA WANAMUONEA WIVU KWA KUMKATAZA ASIUZE MAFUTA ILI KUPUNGUZA MLIMA WA FWEZA WA IRAN KITU KISICHOWEZEKANA NA MAHALA WALIPOFIKIA HAWAWEZEKANI TENA
 
Mpenda Shia bwana

Hata Sala tu huendi kisha unajiona we ndio mrithi wa dini
ANGALIA UTAWALA WA SAUDI, ETI UNAJIITA WA KIISLAM ULIVYOMFANYIA MTOTO WA MIAKA 11 JUZI TU, IVI MM NAULIZA HUU NDIO USSUNI, MM NI SUNNI ILA PENYE UKWELI PASEMWE MKUU, HUU SIO USSUNI WA MTUME MUHAMMAD (S. A. W), MSICHANGANYE DINI YA KIISLAM NA UNYAMA WA UTAWALA WA MAYAHUDI WA KIARABU, SASAIVI WANASHIRIKIANA NA US NA IZRAIL KUUWA MAELFU YA RAIYA WA YEMEN KUNA MIKATABA YA MABILIONI YA MAPESA KUNUNUA MABOMU US KUUWA RAIYA WASIOKUA NA HATIA , UTAWALA WA SAUDI UTAZILIPA DAMU INAYOMWAGIKA YEMEN, SIO KWAKUA KUNA SEHEM TUKUFU NDIO HAWAFANYI MABAYA AU HAWAKOSEI MKUU, KAMA ULIKUA NA MAWAZO HAYO, WANACHOFANYA UTAWALA WA SAUDI BASI UNAPOTEA, TAFAKARI.
Screenshot_20190612-015956.jpeg
Screenshot_20190612-015952.jpeg
Screenshot_20190612-015914.jpeg
Screenshot_20190612-015926.jpeg
Screenshot_20190612-015946.jpeg
 
ANGALIA UTAWALA WA SAUDI, ETI UNAJIITA WA KIISLAM ULIVYOMFANYIA MTOTO WA MIAKA 11 JUZI TU, IVI MM NAULIZA HUU NDIO USSUNI, MM NI SUNNI ILA PENYE UKWELI PASEMWE MKUU, HUU SIO USSUNI WA MTUME MUHAMMAD (S. A. W), MSICHANGANYE DINI YA KIISLAM NA UNYAMA WA UTAWALA WA MAYAHUDI WA KIARABU, SASAIVI WANASHIRIKIANA NA US NA IZRAIL KUUWA MAELFU YA RAIYA WA YEMEN KUNA MIKATABA YA MABILIONI YA MAPESA KUNUNUA MABOMU US KUUWA RAIYA WASIOKUA NA HATIA , UTAWALA WA SAUDI UTAZILIPA DAMU INAYOMWAGIKA YEMEN, SIO KWAKUA KUNA SEHEM TUKUFU NDIO HAWAFANYI MABAYA AU HAWAKOSEI MKUU, KAMA ULIKUA NA MAWAZO HAYO, WANACHOFANYA UTAWALA WA SAUDI BASI UNAPOTEA, TAFAKARI. View attachment 1126572View attachment 1126573View attachment 1126575View attachment 1126576View attachment 1126580



"Eti hata kama mi Sunni"

Mambo ya dini ni mambo ya u"serious", niishie hapa
 
Basi unaambiwa huu mfumo ndo ulitumika kulitungua lile dude la kisasa na la matrilioni niliwaambia huu mfumo ni🔥🔥🔥🔥🔥 mkapinga
 
Kuna watu bado wapo ndotoni, wanahisi Iran ni sawa na waarabu. Wakati Iran tangu miaka ya 79 huko ajipanga tu kwa mifumo ya nje hadi ya kuanza kuunda mwenyewe kwake
 
Wewe mtu mweusi Huna jeuri ya kuwakashifu waarabu eti "mikondoo ya kiarabu"

Waarabu ndio binadamu walioupokea Uislam kwa zaidi ya asilimia 90

Which means kuwakashifu waarabu ni kuwakashifu waislamu

Mnafiki mkubwa umewakashifu baadhi ya waislamu kuwa "mikondoo ya kiarabu" halafu ulivyo mnafiki unajifanya kurudi kwenye Sunna ili kunishambulia, mshia na sunna wapi na wapi
Uarabu na uislam tofauti asee hao hao waarabu kwan hawakumpinga Mtume ?!

Wasaudia wa ss wabaya zaidi ya unavyodhania

Uislam hauangalii uarabu wala uzungu una angalia hakki 2

Saudia ile sio hii hii ya ss wauwaji 2 hawana maana pesa mbili wao na wayahudi sawa sawa 2
 
Uarabu na uislam tofauti asee hao hao waarabu kwan hawakumpinga Mtume ?!

Wasaudia wa ss wabaya zaidi ya unavyodhania

Uislam hauangalii uarabu wala uzungu una angalia hakki 2

Saudia ile sio hii hii ya ss wauwaji 2 hawana maana pesa mbili wao na wayahudi sawa sawa 2

Kwa hiyo Saudia ni waislamu wabaya ila nyinyi huku Africa mashabiki wa Diamond na walevi ndio waislamu wazuri?
 
Uarabu na uislam tofauti asee hao hao waarabu kwan hawakumpinga Mtume ?!

Wasaudia wa ss wabaya zaidi ya unavyodhania

Uislam hauangalii uarabu wala uzungu una angalia hakki 2

Saudia ile sio hii hii ya ss wauwaji 2 hawana maana pesa mbili wao na wayahudi sawa sawa 2
Mmeanza kugeukana??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom