Iran yazindua mfumo wa kisasa wa makombora wa Khordad 15...unapiga mpaka kilometa 150

STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,566
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,566 2,000
Hakuna na hakujawahi kuwa na muislam anaewapenda mashia labda awe jahili

Kama wewe ni msunni na unawashabikia Iran inabidi ufanye kila uwezalo uende ukasome maana kuwa hujui sio Utetezi pale Allah atapokurejeshea ujao baada ya kutoka kaburini
NDIO MAANA MNAMWAGA DAM NYINGI SANA KWA ETI KUTUMIA KIGEZO UISLAM, UKISKIA USSUNI ALIOKUA NAO MTUME SIO HUO WA KUUWA NA KUCHINJA WATU WASIOKUA NA HATIA, HUO USSUNI WENU NI WA KIYAHUDI AMBAO LENGO LAKE NI KUUSAMBARATISHA NA KUUGAWA UISLAM MAKUNDI KWA MAKUNDI NA KUMWAGA DAMU ZA WATU, TUNAWAJUA MNAJITAHIDI KUUCHAFUA NA KUUGAWA UISLAM KWA MALENGO YENU HUKU MKIPEWA MABILIONI YA HELA NA SILAHA ILI KUUCHAFUA UISLAM, ILA HAMTOFANIKIWA KWA HILO COZ HATA KIPINDI CHA MTUME (S. A. W) ILIWAHI KUFANYIWA NJAMA KAMA IZO ILA ALLAH AKAZIZUIA NA SAIVI MTASHINDWA TU, ENDELEA KUISHI NA UKAFIRI WAKO UTAENDA KUJIELEZA MBELE KWA MBELE HUKO
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,199
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,199 2,000
NDIO MAANA NIKAKUTITA KAFIRI KWA SABABU WW NI KAFIRI
Ukafiri upo kwa ushahidi na dalili na sio hamasa na matamanio yako ya kijinga

Ka unadhani haya Maisha yapo kama mwanasesere ngoja uje uone NB habari yake
 
Haki ipo huko Ushiani au?

Mbona unaogopa hata kujiita Shia? Wazeee wa kujichoma visu na kunywa mikojo
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,566
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,566 2,000
Ukafiri upo kwa ushahidi na dalili na sio hamasa na matamanio yako ya kijinga

Ka unadhani haya Maisha yapo kama mwanasesere ngoja uje uone NB habari yake
DALILI KUBWA NILIOKUONA NAYO WW NI KUUCHAFUA UISLAM NA KUUGAWA KWA KIGEZO CHA KUJIITA ETI SUNNI, IVI WW UNAJUA MAANA YA SUNNI? UNAJUA MAANA YA UISLAM? UNAJUA KINACHOTOKEA SAIVI DUNIANI?? KAMA WW NI SUNNI NA MUISLAM KWA NN HUPENDI AMANI? KWA NN UNAFRAHIA KUMWAGIKA DAM ZA BINAADAM AWE MUISLAM AU ASIEKUA MUISLAM, UNAJUA KUA UISLAM NI DINI PEKEE ILIKUA NA KIWANGO CHA AMANI CHA HALI YA JUU??
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,199
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,199 2,000
NDIO MAANA MNAMWAGA DAM NYINGI SANA KWA ETI KUTUMIA KIGEZO UISLAM, UKISKIA USSUNI ALIOKUA NAO MTUME SIO HUO WA KUUWA NA KUCHINJA WATU WASIOKUA NA HATIA, HUO USSUNI WENU NI WA KIYAHUDI AMBAO LENGO LAKE NI KUUSAMBARATISHA NA KUUGAWA UISLAM MAKUNDI KWA MAKUNDI NA KUMWAGA DAMU ZA WATU, TUNAWAJUA MNAJITAHIDI KUUCHAFUA NA KUUGAWA UISLAM KWA MALENGO YENU HUKU MKIPEWA MABILIONI YA HELA NA SILAHA ILI KUUCHAFUA UISLAM, ILA HAMTOFANIKIWA KWA HILO COZ HATA KIPINDI CHA MTUME (S. A. W) ILIWAHI KUFANYIWA NJAMA KAMA IZO ILA ALLAH AKAZIZUIA NA SAIVI MTASHINDWA TU, ENDELEA KUISHI NA UKAFIRI WAKO UTAENDA KUJIELEZA MBELE KWA MBELE HUKO

Wazeee wa kujichoma visu hahahahah

Haki ya kujichoma visu na kunywa mikojo
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,566
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,566 2,000
Haki ipo huko Ushiani au?

Mbona unaogopa hata kujiita Shia? Wazeee wa kujichoma visu na kunywa mikojo
MM SIO SHIA MKUU, MM NI SUNNI ILA PENYE UKWELI PASEMWE, MM NASMAMIA UKWELI TU HAIJAALISHI SUNNI, IBADHI, SHIA NK,
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,199
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,199 2,000
DALILI KUBWA NILIOKUONA NAYO WW NI KUUCHAFUA UISLAM NA KUUGAWA KWA KIGEZO CHA KUJIITA ETI SUNNI, IVI WW UNAJUA MAANA YA SUNNI? UNAJUA MAANA YA UISLAM? UNAJUA KINACHOTOKEA SAIVI DUNIANI?? KAMA WW NI SUNNI NA MUISLAM KWA NN HUPENDI AMANI? KWA NN UNAFRAHIA KUMWAGIKA DAM ZA BINAADAM AWE MUISLAM AU ASIEKUA MUISLAM, UNAJUA KUA UISLAM NI DINI PEKEE ILIKUA NA KIWANGO CHA AMANI CHA HALI YA JUU??
Mjinga kweli, mtu anakuwa kafiri kwa kujiita Sunni?

Endeleeni na haki ya kujichoma visu na kunywa mikojo ya maimam
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,199
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,199 2,000
Endelea kuishi na ukafir wako huo

Huna elimu ya kiislamu mtu wa fikra za kijinga

Hatuna Sunni wa kipuuzi ambae yupo yupo, sasa hivi uko Mmarekani huko na ufasiki wa huko

Yaani unadai kuwapinga na ni watu wabaya halafu upo kwenye nchi zao huko muda huu
Endelea kuishi na ukafir wako huo

Najidhalilisha kujadiliana na Jahili
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,582
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,582 2,000
Lakini na nyie makafiri ni ovyo zaidi
Hivi huyo basketball player uliomuweka kwenye avatar yako unamfahamu jina lake?

Je yeye sio kafiri kwa mujibu wa imani yako ya kibaguzi inayojinasibisha utukufu?
Kwa ufahamu wangu mimi Mungu si mbaguzi Mungu hajitukuzi bali huonyesha utukufu wake kwetu wanadamu nijibu maswali yangu ya msingi
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,994
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,994 2,000
hawana lolote hao
Lao moja wanatuzuga tu Wajanja Tumewashtukia
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,994
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,994 2,000
Nyie mashia ni wa hovyo sana

Unatukana waislamu eti "mikondoo ya kiarabu"

We ni wa kuwakashifu race ambayo imeupokea Uislam kwa zaidi ya asilimia 90? Ndio maana mshia!
Mkuu usihangaike kupoteza muda wako bure mashia na marekani ni kitu kimoja Na hawakufanikiwa Na hawatafanikiwa kamwe
Wao ni maadui zaidi
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,566
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,566 2,000
Hivi huyo basketball player uliomuweka kwenye avatar yako unamfahamu jina lake?

Je yeye sio kafiri kwa mujibu wa imani yako ya kibaguzi inayojinasibisha utukufu?
Kwa ufahamu wangu mimi Mungu si mbaguzi Mungu hajitukuzi bali huonyesha utukufu wake kwetu wanadamu nijibu maswali yangu ya msingi
Huyu ni kafiri, IVI KWANI WW UNAJUA NN MAANA YA KAFIRI? tuanze hapo kwanza, kuhusu Mungu naelewa kuwa Mungu wetu ni mmoja na hana ubaguzi
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,582
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,582 2,000
Huyu ni kafiri, IVI KWANI WW UNAJUA NN MAANA YA KAFIRI? tuanze hapo kwanza, kuhusu Mungu naelewa kuwa Mungu wetu ni mmoja na hana ubaguzi
Kafiri ni mtu yeyote asiyefuata amri za Mungu mwenye enzi.
Na kwenye Qur'an waarabu walikuwa wakimpinga sana Muhammad akawaita makafiri na kwenye Qur'an yenu wametajwa kwa jina hili
(al arabaru ashadu kufru wanifaqa.) Waarabu walikuwa wakimpinga mbaya mbovu Muhammad.

Haya kwanini unawaita watu wasio wa imani yako makafiri?
Je unawalazimisha wawe na imani kama yako kwa kuwaita majina ya ajabu ya kukera?

Kwanini unachokiamini wewe unataka na mwingine akiamini huwezi kufanya ibada zako na uka_stick kwenye miongozo ya dini yako ili hata ambao si wa imani yako wawe wa imani yako au mpaka uwalazimishe au kupinga imani yao na kuwaita majina ya ajabu ndio watakuja kwa hofu ya kuogopa?

kama utaendelea kuwa na mamisimamo yako mtoe huyo unaemwita kafiri kwenye avatar yako muweke wa imani yako hata salah
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,994
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,994 2,000
Dah jamaa ana imani Kali kweli
Hata picha inamtesa!?
 
clinical pharmacology2

clinical pharmacology2

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
821
Points
1,000
clinical pharmacology2

clinical pharmacology2

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
821 1,000
Uzi wetu mume uharibu na mambo ya dini
Hapa tunajadili kuhusu khordan 15 ambayo ni new air defense system iliotengenezwa na Iran yenye uwezo wa KU destroy six target simultaneously..

Rudini kwenye mada mambo ya dini wekeni pembeni kwanza
 
Forum statistics

Threads 1,307,084
Members 502,332
Posts 31,601,095
Top