Iran yazindua mfumo wa kisasa wa makombora wa Khordad 15...unapiga mpaka kilometa 150

Kwani stealth zinaonekana siku hizi?
Technology hii bado sio approved opperationally, na ndo maana hakuna stealth yoyote ya marekani inayoingia katika combat duniani kote zaidi ya Ile f 111 iliyodunguliwa mwaka 99 kule Serbia pamoja
mq reaper drone stealth, ambaayo electronically ilishushwa na Iran mwaka 2013 na hivyo kuonesha technology hyo isivyo na uhakika.
S
 
Pumbaaaaa! Huwezi ukawasifia watu na kuwatia wema TU kwa historia njema ya waliopita! Waarabu was Leo Ni bendera fuata upepo! Imebaki Syria na Lebanon tu.
 
Wabongo akili zetu sidhani kama zipo kichwani.Thread ya lran na u.s.a imeanzieha vita ya uislam na ukristo.kila siku nasema mi ni Islamic lakini sijawahi kuwa mjinga wa kushambulia dini nilizozikuta, ntakuwa zuzu.
 
Kwa hyo wanachofanya waarabu wa saudia under control ya marekani unaunga mkono? Yaani wew huna tofauti na wale wanaokubali wazungu TU kwa sababu waliuleta ukristo. Japo wanafanya PUMBA chungu nzima
HUYO JAMAA ANAELEMENT ZA KISHOGA, YAANI HAONI UNYAMA ANAOFANYA SAUDI KUUWA RAIYA KILA DAY KAMA SI UGAIDI ANAOFANYA NI NN, KILA SIKU ANAWANYONGA RAIA WAKE
 
Mkuu mm si Shia mm ni sunni ila ww ni kafiri unaejiita eti MUISLAMU wakati unashobokea makafiri wenye DAMU za watu
pumbavu hilo halijui hata maana ya uislamu, kazi yao kubwa ni kuwakufurisha watu na kuwaingiza motoni utadhani funguo za milango ya pepo na moto ni mali yao.
 
USA anapoelekea atafeli tu kwanza katengeneza maadui wengi tofauti na Russia au China angalia sasa anashindwa ashikilie wapi,huku vita ya biashara na China,huku middle East nchi kama Iran inamsumbua,North Korea USA ana migogoro kibao na bado hapo hapo anataka uchumi wake ukue zaidi sidhani kama atafanikiwa in long run japo nilipenda azidi ku dominate lakini naona atafeli tu na muda umekaribia kama ni soka dakika ni ya 75.Kumbuka wahenga walisema mshika mawili moja humponyoka.
 
Huyu ni kipofu, kiziwi, bubu halafu hana akili.
Kazi yao kubwa ni kuitukanisha dini ionekane ni dini ya mauji na umwagaji damu isiyo na kheri katika mustakbali wa maisha ya mwanaadamu.
Yaani popote walipo watu wenye misimamo ya huyu jamaa watu wanaodhurika zaidi ni waislamu wenzao, hawa ni fitna aliyoizungumzia mtume (s.a.w).
 
Nyie masalafi msio na insaafu ndio kazi yenu kuwakufurisha watu kwa jinsi mnavyojisikia, kwenu dini ni jazba na chuki.
Allah awaongoze kwa upotovu mlionao katika dini.


Ila wewe Shia ndio muongofu?
 

Sawa wanywa mikojo ya wale maimam 12 wa shia
 
pumbavu hilo halijui hata maana ya uislamu, kazi yao kubwa ni kuwakufurisha watu na kuwaingiza motoni utadhani funguo za milango ya pepo na moto ni mali yao.

Nani mpumbavu kati ya mimi na wewe ulio katika pote(Shia) ambalo moja ya mambo yake ya dini ni kujichoma visu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…