Iran yazindua mfumo wa kisasa wa makombora wa Khordad 15...unapiga mpaka kilometa 150

Hizo Khordad 15 inatakiwa wakabidhiwe Ansarullah nchini Yemen wamshikishe adabu kibaraka wa mabeberu.
Ansarullah au Houthis fighter supported by Iran wamepewa technology kidogo ya drone aina ya Qasef ambazo zinabeba mabomu kidogo na Pia wamepewa tech ya makombora basi Saudi haamini kinachoendelea maana jamaa wanalipua uko Najan Saud kwa hizo drone achilia missile Vita inaenda mwaka wa 3 na Saudi,UAE na washirika wake bado hawajashinda
 
Muajemi ni habari nyingine kabisa sio wa kumfananisha na hii mikondoo ya kiarabu ambayo haina hata technology ya kutengeneza mafataki, yenyewe kila kitu mpaka ipewe na Marekani.
Huu uvamizi Saudi alioufanya naimani unamtokea puani kwa sasa, Nawaombea wa Yemen waendelee kumkazia hivi hivi tena ikiwezekana walirudishe jimbo lao la Najran walilopokwa mwaka 1937 na hao wakoloni.
 
Hv Iran ameshafunga ule mlango Hormuz aliotishia kuufunga kama angewekewa vikwazo na Marekani?!
 
Bado anafanya biashara na ulaya na Asia hawezi Kufunga kwa sasa, pia juzi China wameendelea kununua mafuta
HAKUNA biashara Kati ya Iran na Ulaya landa zile ambazo hazipo chini ya vikwazo kama sekta ya Afya,nk. Au hukumsiliza vizuri Waziri wa Mambo ya nje wa Iran anavyoilaumu Ulaya kufuata matakwa ya Washington

Mafuta yalinunuliwa kabla ya vikwazo. China hajanunua mafuta ya Iran kuanzia tarehe 1/05
 
Mafuta yalinunuliwa kabla ya vikwazo. China hajanunua mafuta ya Iran kuanzia tarehe 1st May
Ahhhh, kaa na ukaidi wako
 
HAKUNA biashara Kati ya Iran na Ulaya landa zile ambazo hazipo chini ya vikwazo kama sekta ya Afya,nk. Au hukumsiliza vizuri Waziri wa Mambo ya nje wa Iran anavyoilaumu Ulaya kufuata matakwa ya Washington

Mafuta yalinunuliwa kabla ya vikwazo. China hajanunua mafuta ya Iran kuanzia tarehe 1/05
Upo karne gani mkuu??mafuta yananunuliwa kama kawaida
Juzi china kanunua mafuta ya kutosha hapo halafu unasema eti toka may 1 hakuna mafuta yalonunuliwa?
Vikwazo vimefeli kwa asilimia 90 na hata juzi china katoka kununua mafuta
 
Walilipa kwa yuan au kwa usd?
 
Muajemi ni habari nyingine kabisa sio wa kumfananisha na hii mikondoo ya kiarabu ambayo haina hata technology ya kutengeneza mafataki, yenyewe kila kitu mpaka ipewe na Marekani.
Huu uvamizi Saudi alioufanya naimani unamtokea puani kwa sasa, Nawaombea wa Yemen waendelee kumkazia hivi hivi tena ikiwezekana walirudishe jimbo lao la Najran walilopokwa mwaka 1937 na hao wakoloni.

Nyie mashia ni wa hovyo sana

Unatukana waislamu eti "mikondoo ya kiarabu"

We ni wa kuwakashifu race ambayo imeupokea Uislam kwa zaidi ya asilimia 90? Ndio maana mshia!
 
mambo ya kujivunia race ni katika mambo ya jahilia ambayo hata mtume wako ameyakemea vikali sana, huyo unae mtetea wewe mikono yake imejaa damu ya wanawake, watoto na wazee wa kiislamu kuanzia Yemen, Syria, Iraq, n.k
Mashariki ya kati yote inanuka damu yake.
Huo msaada wa tende anaokupatia mwezi wa Ramadan usikufumbe macho mpaka ushindwe kuona mabaya yake jinsi yavyoudhoofisha na kuutukanisha uislam duniani.
 
Wewe mtu mweusi Huna jeuri ya kuwakashifu waarabu eti "mikondoo ya kiarabu"

Waarabu ndio binadamu walioupokea Uislam kwa zaidi ya asilimia 90

Which means kuwakashifu waarabu ni kuwakashifu waislamu

Mnafiki mkubwa umewakashifu baadhi ya waislamu kuwa "mikondoo ya kiarabu" halafu ulivyo mnafiki unajifanya kurudi kwenye Sunna ili kunishambulia, mshia na sunna wapi na wapi
 
mambo ya kujivunia race ni katika mambo ya jahilia ambayo hata mtume wako ameyakemea vikali sana, huyo unae mtetea wewe mikono yake imejaa damu ya wanawake, watoto na wazee wa kiislamu kuanzia Yemen, Syria, Iraq, n.k
Mashariki ya kati yote inanuka damu yake.
Huo msaada wa tende anaokupatia mwezi wa Ramadan usikufumbe macho mpaka ushindwe kuona mabaya yake jinsi yavyoudhoofisha na kuutukanisha uislam duniani.

Ulivyo mnafiki eti "najivuniaa race" wakati ulianza kwa kuropokwa na maneno machafu eti "mikondoo ya kiarabu"
 
Sasa unachobisha wewe kitu gani?
Juzi tu hapo Trump ametoka kumkashifu Muhammad bin Salman na utawala wote wa Al Saudi kwa kuwaambia wao ni sawa ng'ombe, Marekani anachokifanya kwao ni kukamua tu maziwa na endapo maziwa yao yakiisha Marekani atakua na hiari ya kumchinja au kumtoa kafara kwa mafisi.
Usalafi wako usikuzibe macho kuona upuuzi anaoufanya Msaudi.
 
Upo karne gani mkuu??mafuta yananunuliwa kama kawaida
Juzi china kanunua mafuta ya kutosha hapo halafu unasema eti toka may 1 hakuna mafuta yalonunuliwa?
Vikwazo vimefeli kwa asilimia 90 na hata juzi china katoka kununua mafuta
Tangu vikwazo vianze HAKUNA Nchi iliyonunua mafuta ya Iran labda kabla ya ya May 1.

https://sputniknews.com/business/201905281075397882-china-iran-oil-usa-sanctions/
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom