Iran yazindua mfumo wa kisasa wa makombora wa Khordad 15...unapiga mpaka kilometa 150

Saudi LED coalition ni coalition ya kizembe sana haijawahi tokea duniani ,
 
Tangu vikwazo vianze HAKUNA Nchi iliyonunua mafuta ya Iran labda kabla ya ya May 1.

https://sputniknews.com/business/201905281075397882-china-iran-oil-usa-sanctions/
Mkuu mlichowahi kuamini.....ila mlipiga mkwara mkisema toka November 5 iran haitauza hata 0 mkaja mkasema may 1 itakua ndo kifo cha iran leo tunaelekea july naona hamna kitu..
Unachozungumza kuwa eti China hajanunua mafuta iran ni link zenu za uwongo na za kujifariji tu..China ameanza kununua mafuta kwa wingi ndo maana juzi marekani alikua hadi akitaka meli za Iran na nyingine za China zinazonunua mafuta ya Iran zizuiliwe hongkong jambo ambalo ni ndoto
 
Hahahaha....Leo chombo chenu pendwa Cha Sputnik kimekua cha uongo
 
Mbona kama Advanced Patriot ya Reythion....au ameshapiga photocopy ya Patriot
 
Mkuu hawa watu hawaelewi hizi ishu
 
Uyo jamaa anapinga wakati hafatilii hata habari
 


Ukome hiyo tabia ya kuwakashifu waarabu, Muhammad bin Abdillah alieteremshiwa Quran na mafundisho yetu ya Uislam ni muarabu wa kabila la kiarabu la Quraish pia waarabu ndio makabila ya binadamu ambayo yameukubali na kuupokea Uislam kwa zaidi ya asilimia 95 ,waarabu waliuhifadhi,waliuhifadhi na kuupigania Uislam

Na mpaka leo Dunia yote inajua jinsi waarabu walivyo kama nembo ya Uislam. Wao waarabu kukataa kiburi cha Ushia isiwe nongwa , utakuwa unatia aibu sana wewe mtu mweusi ukawakashifu waarabu eti "miarabu''

Muislam damu yake,mali yake na heshima yake ni vitu vitukufu, muarabu ni muislam, ndio maana hata kipindi fulani aliefata tamaduni zisizo za kiarabu ilionekana anajifananisha na wasio waislamu
 


Acha uongo na unafiki, wewe ulipotamka "miarabu" ndipo ulipoonesha jinsi una unavojivunia race yako na ya waajemi dhidi ya race ya "miarabu'

Unaporecall matamshi ya Trump wala sishangai sababu wewe Mayahudi ni ndugu zako
 
Halafu tofauti Na makafiri wengine nyinyi Ukafiri wenu Uislam umeamrisha tudili kwa panga



Tofauti ya makafiri wale na makafiri nyinyi wa Joshua ni kwamba makafiri wale wana haki ya kuishi katika miji ya kiislamu ila nyinyi ni panga tu
NDIO MAANA NIKAKUTITA KAFIRI KWA SABABU WW NI KAFIRI
 
Mkuu mm si Shia mm ni sunni ila ww ni kafiri unaejiita eti MUISLAMU wakati unashobokea makafiri wenye DAMU za watu


Hakuna na hakujawahi kuwa na muislam anaewapenda mashia labda awe jahili

Kama wewe ni msunni na unawashabikia Iran inabidi ufanye kila uwezalo uende ukasome maana kuwa hujui sio Utetezi pale Allah atapokurejeshea ujao baada ya kutoka kaburini
 
NDIO MAANA NIKAKUTITA KAFIRI KWA SABABU WW NI KAFIRI


Halafu fanya kila njia urudi Tanzania uende kwa masheikh wakakufundishe dini maana ilishafundishwa katika Uislam kuwa kutokujua sio utetezi

Ukikutana na Allah una makosa halafu ukategemea ujitetee kwamba nilikuwa sijui inakula kwako , inakula khasara katika wakati mbaya kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…