kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,380
- 9,606
DWAny reliable source?
DWAny reliable source?
CIA hata magogoni wapo
Mbona trump jana kakanusha kuwa si za kweli ni uongo
Asante sana Baba Swalehe,mada yote hii umenifurahisha wewe tu ,hii maan yake muosha huoshwakiganjanu - kiganjani
Shuleni mlienda kusomea ujinga
Ukamate zizi lote hilo hata mmoja wao kusema kaneno asiseme.
Hata majina yao
Na CIA wangetangaza wamefanikisha malengo yao Ungepinga, teh!Na wangefanikisha malengo yao ungekuja hapa kuwasifu kuwa majasusi wa CIA wametimiza malengo yao na usingelalamika, ivi kwani nyinyi mnakosa kulalamika kwa Irani?
Kwani huwa wanakamatwaje majasusi?..Propaganda,majasusi wote hao wakamatwe kizembe tu
Akikujibu nitagNa CIA wangetangaza wamefanikisha malengo yao Ungepinga, teh!
Hahaha 😅😅Asante sana Baba Swalehe,mada yote hii umenifurahisha wewe tu ,hii maan yake muosha huoshwa