Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,155
Reaction score
2,171
Katika hali ya Uhasama inayoendelea baina ya US na Iran Leo Iran imeitungua Ndege isiyokua na Rubani aina ya Global Hawk uko mashariki mwa Iran maeneo ya Jask! RQ-4 Global Hawk ni aina ya Drone inayotegemewa sana na Marekani ktk masuala ya Intelligence, kwani sifa yake kubwa ni kupaa ktk attitude ya juu sana na kukaa hewani bila kuongezewa mafuta kwa masaa mengi na iliundwa maalaumu kuzinguka dunia kwa mantiki iyo duru zinaonesha huenda ilitokea Germany kwenda directly to Iran then irudi ni Drone kubwa sana zaidi ya Ndege nyingi tu kwa ukubwa wa mabawa yake.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…