BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,155
- 2,171
Apo Jana jeshi la wanamaji wa Iran lillikabidhiwa Manowari mbili mpya kabisa ambazo zimetengenezwa nchini umo! Manowari zikizokabidhiwa apo Jana zinauwezo wa Ku sail kwenye shallow water of Persian golf na kuweza kubeba silaha km missiles,torpedoes na under water explosive.... Pia kiongozi wa jeshi la wanamaji wa Iran amesema Manowari zilizokabidhiwa ni aina ya Ghadir/Qadir with 120T pia baada ya kumasta hii teknolojia Iran iliendelea mbele zaidi kwa kutengeneza Manowari nyingine kubwa Mara 5 zaidi ya hizi Ghadir submarine ambapo hadi hizi sasa wanazo takriban 25....Wikend hii watavumbua Manowari nyingine ambayo ni Fateh yenye Tani 600+ na Destroyer meli vita
2 New Submarines Join Iran Navy’s Fleet - Politics news - Tasnim News Agency
2 New Submarines Join Iran Navy’s Fleet - Politics news - Tasnim News Agency