Iran yamkamata jasusi wa Mossad

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Iran yamkamata jasusi wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki

Maafisa wa usalama nchini Iran wametangaza kumkamata jasusi wa utawala wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki katika eneo la kaskazini magharibi mwa nchi.

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki amesema jasusi huyo wa utawala wa Israel na majasusi kadhaa wa nchi zingine wamekamatwa katika oparesheni ya maafisa wa usalama mkoani humo.

Akizungumza na waandishi habari Jumatatu, amesema hakuna kundi lolote la magaidi wakufurishaji katika mkoa huo lakini hakutoa taarifa zaidi kuhusu idadi ya majasusi waliokamatwa au uraia wao.

Hali kadhalika amesema katika miezi ya hivi karibuni pia majasusi wengine kadhaa waliokuwa wanatumikia mashirika ya kijasusi ya kigeni wamekamatwa mkoani humo.

Agosti 2020, maafisa wa usalama wa Iran waliwakamata majasusi kadhaa wa mashirika ya kijasusi ya kigeni nchini.

Akizungumza wakati huo, afisa mwandamizi wa Wizara ya Usalama alitangaza kuwa wamesambaratisha timu tano za majasusi na kusema kukamatwa majasusi hao kulikuwa pigo kubwa kwa madola ya kibeberu duniani.

Afisa huyo alisema mashirika ya kijasusi ya kigeni yanatumia mbinu za kiwango cha juu ili kupata taarifa muhumu katika sekta mbali mbali nchini Iran hasa sekta ya za nyuklia, kijeshi, kisiasa, kiuchumi na miundo msingi.

Aliongeza kuwa majasusi hao wanatekeleza shughuli zao chini ya usimamisi wa Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani (CIA), shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad na mashirika kadhaa ya kijasusi ya nchi za Ulaya.

My take:Sipachi picha kitu huyo mwisrael atafanywa huko Iran

4by0fd72fffd241uk74_800C450.jpeg
 
Mkuu shkamoo
vp waarabu na muajemi watavamia lini israel pande zote?

Endelea na udaku hapo masjid na wenzio badala ya kwenda kufanya kazi mnashnda mmelala masjid mnakunywa kahawa na kutafuta cha kuandka jf khs israel

Cha ajabu myahudi yuko kmya hanaga shda na mtu pale golan mnakomboa lini au tusubiri mashambulz ya pande zote?
 
Iran wapenda sifa wamkamate Muisrael na waache kumpiga picha dunia ione hicho kitu hakipo... hao wanaowashika ni raia wao tu kisha wanachukua point kwa israel kisa labda lawasiliana kwa simu na mtu anayehusiana na Taifa la Israel... hata Hamas na Hezbollah hiwakamata raia wao na kuwapa kesi hizo...

Kimsboy hongera kwa kulitambua Taifa la Israel kwa kulitamka vizuri this time.. bila chenga kumbe huwa mnaelewa ile Tokea mama Samia aingie akili zenu zimerejea upya safi... ile Taifa sijui haram no more na usirudie tena ulipotokea.
.

Vipi ushasikia spy ship ya iran imeshambuliwa na Israel?
 
Iran wapo vizuri kientelijensia maana wangelikua ni wazembe wazembe hiyo nchi sahv ingelikua kama libya tu
Iran wapenda sifa wamkamate Muisrael na waache kumpiga picha dunia ione hicho kitu hakipo... hao wanaowashika ni raia wao tu kisha wanachukua point kwa israel kisa labda lawasiliana kwa simu na mtu anayehusiana na Taifa la Israel... hata Hamas na Hezbollah hiwakamata raia wao na kuwapa kesi hizo...

Kimsboy hongera kwa kulitambua Taifa la Israel kwa kulitamka vizuri this time.. bila chenga kumbe huwa mnaelewa ile Tokea mama Samia aingie akili zenu zimerejea upya safi... ile Taifa sijui haram no more na usirudie tena ulipotokea.
.

Vipi ushasikia spy ship ya iran imeshambuliwa na Israel?
 
Pana nadharia kwamba Israeli na Iran hawawezi kupigana vita kama ya Iran vs Iraq. Hizi Chokochoko zote ni magirini tu.
 
Sipachi picha kitu huyo mwisrael atafanywa huko Iran
Kama ni Muisrael, atapona; ni asset hiyo siku moja atabadilishwa kwa vitu vyenye thamani kubwa. Israel huwa haichi raia wake kwenye mataa hata siku moja. Hata maiti huwa inarudishwa.

Kama ni Muiran, shingo yake italiwa na upanga
 
Iran yamkamata jasusi wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki

Maafisa wa usalama nchini Iran wametangaza kumkamata jasusi wa utawala wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki katika eneo la kaskazini magharibi mwa nchi.

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki amesema jasusi huyo wa utawala wa Israel na majasusi kadhaa wa nchi zingine wamekamatwa katika oparesheni ya maafisa wa usalama mkoani humo.

Akizungumza na waandishi habari Jumatatu, amesema hakuna kundi lolote la magaidi wakufurishaji katika mkoa huo lakini hakutoa taarifa zaidi kuhusu idadi ya majasusi waliokamatwa au uraia wao.

Hali kadhalika amesema katika miezi ya hivi karibuni pia majasusi wengine kadhaa waliokuwa wanatumikia mashirika ya kijasusi ya kigeni wamekamatwa mkoani humo.

Agosti 2020, maafisa wa usalama wa Iran waliwakamata majasusi kadhaa wa mashirika ya kijasusi ya kigeni nchini.

Akizungumza wakati huo, afisa mwandamizi wa Wizara ya Usalama alitangaza kuwa wamesambaratisha timu tano za majasusi na kusema kukamatwa majasusi hao kulikuwa pigo kubwa kwa madola ya kibeberu duniani.

Afisa huyo alisema mashirika ya kijasusi ya kigeni yanatumia mbinu za kiwango cha juu ili kupata taarifa muhumu katika sekta mbali mbali nchini Iran hasa sekta ya za nyuklia, kijeshi, kisiasa, kiuchumi na miundo msingi.

Aliongeza kuwa majasusi hao wanatekeleza shughuli zao chini ya usimamisi wa Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani (CIA), shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad na mashirika kadhaa ya kijasusi ya nchi za Ulaya.

My take:Sipachi picha kitu huyo mwisrael atafanywa huko Iran

View attachment 1745354
Mpaka taarifa inatufikia hapa huyo Afisa wa Israel atakua marinda yote yametatuka kwenye mahojiano tu waajemi sio watu wazuri
 
Huwezi kukamata jasusi la MOSSAD kifala fala,Kama unavyodhani,wamekamata watu kwa kuhisi Tu, Tatizo lako unateswa sana na chuki za Kidini.
 
Hii comment imefanya nikuvue nyota mbili nilizokupa now wewe ni Koplo usu

na ninafikiria kufuta like zote nilizokupa kwenye mada zako za kijasusi

Tumia akili kidogo tu kujiuliza hivi kama idara ya usalama ya Iran ingekuwa ni dhaifu unadhani Taifa la Iran now lingekuwaje?

kwaiyo hata maendeleo ya teknolojia waliyonayo wairan huyaoni kweli ndugu
 
Back
Top Bottom