Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Nani sasa, Jenerali wa Iran au huyo uliyemquote?Mmmh! Naona watu bado mpo kwenye ajenda ya kuipa utukufu usio stahili hii nchi
Nani sasa, Jenerali wa Iran au huyo uliyemquote?Mmmh! Naona watu bado mpo kwenye ajenda ya kuipa utukufu usio stahili hii nchi
even in Israel there are many Muslims and other religions and for sure wayahudi wapo Iran wanaabudu kwa amani ndani ya TehranWhere was allah when all this was happening?
Ingekuwa hawa Mula wa Iran wanapiga maji ningesema jenerali wao alikuwa mbwii wakati anafanya press conference. Ila kwa kuwa hawapigi maji basi inawezekana alivuta ile moshi mbaya kabla ya press conference.
Hahahaha!!Brigedia wa Iran ni sawa na Koplo wa Israel
jibu swali weweeee. Where was allah???even in Israel there are many Muslims and other religions and for sure wayahudi wapo Iran wanaabudu kwa amani ndani ya Tehran
Where was allah when all this was happening?
Mula ni title wanayoitumia kutambulishana baadhi ya makabila ya Iran na Afghanistan. Kama unakumbuka vizuri kulikuwa na Mula Omar na ma Mula wengine wengi tu enzi za Taliban.Mula ni akina nani hao Tata! Kama wairani ni Mula na hao israel utawaitaje? Mungu ama?
Mkuu huyo brigedia hamfikii hata koplo wa Israel.Brigedia wa Iran ni sawa na Koplo wa Israel
Mkuu huyo brigedia hamfikii hata koplo wa Israel.