Waisrael hawana kabisa undugu na wapalestina, ni watu wawili mbalimbali kabisa.Acha ufara taifa la mungu linaua ndugu zao wapalestina
Waisrael hawana kabisa undugu na wapalestina, ni watu wawili mbalimbali kabisa.Acha ufara taifa la mungu linaua ndugu zao wapalestina
Na huo uadui unatengezwa na adui zakeTatizo la Iran ni kwamba ndani ya nchi hakujatulia, serikali imetengeneza uadui na wananchi wake na hili litaigharimu Sana hii nchi
Kwahiyo unataka kusema Israel anatechnology na military superiority kuliko USA? Akili zingine za kushikiwa na akina mwamposa duh!!!!atakachofanya iran pekee ni kuwapa silaha hamas au hezbolah wazirushe israel, na israel atajibu kwa kubomoa magorofa ya Gaza na Lebanon, na kuua watu. mwisho wa siku iran ataanza tena kutoa pesa kujenga gaza na lebanon. siku zote iran ametamka wazi kwamba wanayemwogopa ni israel wala sio marekani. usicheze na taifa la Mungu.
Labda tu nikusaidie kitu kwenye uelewa, Israel anamiliki asilimia kubwa ya uchumi wa USA na Hata viwanda vingi vya silaha vya USA, israel ana asilimia kubwa kimyakimya ndio maana hata ndege za F35 nchi pekee iliyoruhusiwa kufanya modifications ya ndege hizo ni Israel pekee.Kwahiyo unataka kusema Israel anatechnology na military superiority kuliko USA? Akili zingine za kushikiwa na akina mwamposa duh!!!!
Mtoa hoja alisema Iran anaiogopa Israel kuliko USA kitu ambacho napinga maana itakuwa ni sawa na kusema Israel ni more powerful than USA, wakati hata kiuchumi na kijeshi Israel anasapoti ya USA.Labda tu nikusaidie kitu kwenye uelewa, Israel anamiliki asilimia kubwa ya uchumi wa USA na Hata viwanda vingi vya silaha vya USA, israel ana asilimia kubwa kimyakimya ndio maana hata ndege za F35 nchi pekee iliyoruhusiwa kufanya modifications ya ndege hizo ni Israel pekee.
Israel will be only country permitted to modify F-35 jet: report
i24NEWSMay 11, 2016 at 09:52 PMlatest revision May 11, 2016 at 10:09 PM
2 min read
Jeff J Mitchell (Getty/AFP/File)An F-35B Lightning II fifth generation multi role combat aircraft pictured at Marine Corps Air Station Beaufort
Israel to be exclusively allowed to integrate its own software and weapons, Wired reports
Israel is to be the only country allowed to modify the US-made F-35 advanced stealth fighter jet after becoming the first ally to receive the aircraft, Wired reports.
i24NEWS
www.i24news.tv
Israel sends ‘Iron Dome’ anti-missile units to the U.S.
Israel delivered the second of two Iron Dome anti-missile batteries to the United States over the weekend, part of an agreement between the Israel Defense Ministry and the Pentagon.www.washingtontimes.com
Israel ships 2nd of two Iron Dome batteries to US, hopes to sell more
Defense Ministry says first missile defense system, delivered in September, is already being put to use by American militarywww.timesofisrael.com
US House approves $1bn for Israel’s Iron Dome after uproar
US House lawmakers overwhelmingly approve bill that would provide additional funding for Israeli missile defence system.www.aljazeera.com
Hope umejifunza kitu kama unania ya kubishanaMtoa hoja alisema Iran anaiogopa Israel kuliko USA kitu ambacho napinga maana itakuwa ni sawa na kusema Israel ni more powerful than USA, wakati hata kiuchumi na kijeshi Israel anasapoti ya USA.
Sa kama wakoma.wa4 waliwatoa.nduki jeshi zima ma Iran 😅😅😅😅😅😅Israel Israel Israel. Hivi ndo yule kwenye dini yetu tunamwita mtoa roho?. Huyu ukipigana naye lazima upigwe tu.
Yap! Nimepitia hizo link. Lakini bado haitoshi kusema eti Iran anaiogopa Israel kuliko Marekani. Ukisema hivyo itakuwa ni sawa na kudeclare kuwa Israel ana nguvu ya kijeshi na technology zaidi ya Marekani. Kwa Marekani kununua iron dome defence system, ni sehemu tu ya biashara ya kutaka access ya kile ambacho hana ikiwa ni kizuri au kina manufaa. Hakuna nchi iliyokamilika na kujitosheleza kimahitaji na technologia. Kuna kuhitajiana kwa sehemu fulani, lakini hiyo haimpi credit Israel ya kuwa superior kwa hata Uturuki achilia mbali Marekani.Hope umejifunza kitu kama unania ya kubishana
Haujui historiaWaisrael hawana kabisa undugu na wapalestina, ni watu wawili mbalimbali kabisa.
Kama ulipitia CHUO utakubaliana nami kwamba WIKIPEDIA haijawahi kuwa reliable source 😅😅😅Yap! Nimepitia hizo link. Lakini bado haitoshi kusema eti Iran anaiogopa Israel kuliko Marekani. Ukisema hivyo itakuwa ni sawa na kudeclare kuwa Israel ana nguvu ya kijeshi na technology zaidi ya Marekani. Kwa Marekani kununua iron dome defence system, ni sehemu tu ya biashara ya kutaka access ya kile ambacho hana ikiwa ni kizuri au kina manufaa. Hakuna nchi iliyokamilika na kujitosheleza kimahitaji na technologia. Kuna kuhitajiana kwa sehemu fulani, lakini hiyo haimpi credit Israel ya kuwa superior kwa hata Uturuki achilia mbali Marekani.View attachment 2505326View attachment 2505327View attachment 2505328
Kuna utofauti WA kuwa Powerful na kuwa mwenye uwezo WA kuchukua maamuzi mazito na ya haraka. Marekani ni very powerful kijeshi kuliko Israel kijeshi lakini Marekani wapo very SLOW kuchukua maamuzi ya kujibu uchokozi. Tofauti na Israel ambayo ndani ya mda mfupi huwa inajibu hujuma zozote zile ndani ya mda mfupi. Hicho ndicho Marekani na Israel wanapotofautiana.Mtoa hoja alisema Iran anaiogopa Israel kuliko USA kitu ambacho napinga maana itakuwa ni sawa na kusema Israel ni more powerful than USA, wakati hata kiuchumi na kijeshi Israel anasapoti ya USA.
wewe ndio huna akili ndugu. kilichosemwa hapo ni kwamba, unaweza kuirushia kombora marekani/kambi ya marekani akanyamaza (kama iran alivyofanya juzi tu baada ya generali wao kuuliwa). ila ukiirushia Israel hata bomu la petroli tu, lazima huwa analipiza kisasi ambacho next time kabla hujarusha itabidi ujiulize kwanza. ndio sera yao kabisa, wao wanasema ni nchi ndogo na imezungukwa na maadui hivyo chochote unachowafanyia huwa wanatake seriously.Kwahiyo unataka kusema Israel anatechnology na military superiority kuliko USA? Akili zingine za kushikiwa na akina mwamposa duh!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukiirushia Israel hata bomu la petroli tu, lazima huwa analipiza kisasi ambacho next time kabla hujarusha itabidi ujiulize kwanza. ndio sera yao kabisa, wao wanasema ni nchi ndogo na imezungukwa na maadui hivyo chochote unachowafanyia huwa wanatake seriously.
Nimepata akili baada ya wewe kufafanua vyema hoja yako, tofauti na ulivyo iwasilisha mwanzo. My mind gets lost in a vague presentation of idea.wewe ndio huna akili ndugu. kilichosemwa hapo ni kwamba, unaweza kuirushia kombora marekani/kambi ya marekani akanyamaza (kama iran alivyofanya juzi tu baada ya generali wao kuuliwa). ila ukiirushia Israel hata bomu la petroli tu, lazima huwa analipiza kisasi ambacho next time kabla hujarusha itabidi ujiulize kwanza. ndio sera yao kabisa, wao wanasema ni nchi ndogo na imezungukwa na maadui hivyo chochote unachowafanyia huwa wanatake seriously.
icho kichwa chako kitapata lini akili aisee?mbona lilikuwa jambo rahisi sana kuelewa.