Iran yailaumu Israel kwa shambulio la ndege isiyo na rubani yaonya, kulipiza kisasi

atakachofanya iran pekee ni kuwapa silaha hamas au hezbolah wazirushe israel, na israel atajibu kwa kubomoa magorofa ya Gaza na Lebanon, na kuua watu. mwisho wa siku iran ataanza tena kutoa pesa kujenga gaza na lebanon. siku zote iran ametamka wazi kwamba wanayemwogopa ni israel wala sio marekani. usicheze na taifa la Mungu.
Kwahiyo unataka kusema Israel anatechnology na military superiority kuliko USA? Akili zingine za kushikiwa na akina mwamposa duh!!!!
 
Labda tu nikusaidie kitu kwenye uelewa, Israel anamiliki asilimia kubwa ya uchumi wa USA na Hata viwanda vingi vya silaha vya USA, israel ana asilimia kubwa kimyakimya ndio maana hata ndege za F35 nchi pekee iliyoruhusiwa kufanya modifications ya ndege hizo ni Israel pekee.

Israel will be only country permitted to modify F-35 jet: report​

i24NEWSMay 11, 2016 at 09:52 PMlatest revision May 11, 2016 at 10:09 PM
2 min read
An F-35B Lightning II fifth generation multi role combat aircraft pictured at Marine Corps Air Station Beaufort
Jeff J Mitchell (Getty/AFP/File)An F-35B Lightning II fifth generation multi role combat aircraft pictured at Marine Corps Air Station Beaufort

Israel to be exclusively allowed to integrate its own software and weapons, Wired reports
Israel is to be the only country allowed to modify the US-made F-35 advanced stealth fighter jet after becoming the first ally to receive the aircraft, Wired reports.

Mtoa hoja alisema Iran anaiogopa Israel kuliko USA kitu ambacho napinga maana itakuwa ni sawa na kusema Israel ni more powerful than USA, wakati hata kiuchumi na kijeshi Israel anasapoti ya USA.
 
Hope umejifunza kitu kama unania ya kubishana
 
Yap! Nimepitia hizo link. Lakini bado haitoshi kusema eti Iran anaiogopa Israel kuliko Marekani. Ukisema hivyo itakuwa ni sawa na kudeclare kuwa Israel ana nguvu ya kijeshi na technology zaidi ya Marekani. Kwa Marekani kununua iron dome defence system, ni sehemu tu ya biashara ya kutaka access ya kile ambacho hana ikiwa ni kizuri au kina manufaa. Hakuna nchi iliyokamilika na kujitosheleza kimahitaji na technologia. Kuna kuhitajiana kwa sehemu fulani, lakini hiyo haimpi credit Israel ya kuwa superior kwa hata Uturuki achilia mbali Marekani.
Screenshot_20230203-222613.jpg
Screenshot_20230203-222737.jpg
Screenshot_20230203-222821.jpg
 
Yap! Nimepitia hizo link. Lakini bado haitoshi kusema eti Iran anaiogopa Israel kuliko Marekani. Ukisema hivyo itakuwa ni sawa na kudeclare kuwa Israel ana nguvu ya kijeshi na technology zaidi ya Marekani. Kwa Marekani kununua iron dome defence system, ni sehemu tu ya biashara ya kutaka access ya kile ambacho hana ikiwa ni kizuri au kina manufaa. Hakuna nchi iliyokamilika na kujitosheleza kimahitaji na technologia. Kuna kuhitajiana kwa sehemu fulani, lakini hiyo haimpi credit Israel ya kuwa superior kwa hata Uturuki achilia mbali Marekani.View attachment 2505326View attachment 2505327View attachment 2505328
Kama ulipitia CHUO utakubaliana nami kwamba WIKIPEDIA haijawahi kuwa reliable source 😅😅😅
 
Mtoa hoja alisema Iran anaiogopa Israel kuliko USA kitu ambacho napinga maana itakuwa ni sawa na kusema Israel ni more powerful than USA, wakati hata kiuchumi na kijeshi Israel anasapoti ya USA.
Kuna utofauti WA kuwa Powerful na kuwa mwenye uwezo WA kuchukua maamuzi mazito na ya haraka. Marekani ni very powerful kijeshi kuliko Israel kijeshi lakini Marekani wapo very SLOW kuchukua maamuzi ya kujibu uchokozi. Tofauti na Israel ambayo ndani ya mda mfupi huwa inajibu hujuma zozote zile ndani ya mda mfupi. Hicho ndicho Marekani na Israel wanapotofautiana.
 
Kwahiyo unataka kusema Israel anatechnology na military superiority kuliko USA? Akili zingine za kushikiwa na akina mwamposa duh!!!!
wewe ndio huna akili ndugu. kilichosemwa hapo ni kwamba, unaweza kuirushia kombora marekani/kambi ya marekani akanyamaza (kama iran alivyofanya juzi tu baada ya generali wao kuuliwa). ila ukiirushia Israel hata bomu la petroli tu, lazima huwa analipiza kisasi ambacho next time kabla hujarusha itabidi ujiulize kwanza. ndio sera yao kabisa, wao wanasema ni nchi ndogo na imezungukwa na maadui hivyo chochote unachowafanyia huwa wanatake seriously.

icho kichwa chako kitapata lini akili aisee?mbona lilikuwa jambo rahisi sana kuelewa.
 
ukiirushia Israel hata bomu la petroli tu, lazima huwa analipiza kisasi ambacho next time kabla hujarusha itabidi ujiulize kwanza. ndio sera yao kabisa, wao wanasema ni nchi ndogo na imezungukwa na maadui hivyo chochote unachowafanyia huwa wanatake seriously.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
wewe ndio huna akili ndugu. kilichosemwa hapo ni kwamba, unaweza kuirushia kombora marekani/kambi ya marekani akanyamaza (kama iran alivyofanya juzi tu baada ya generali wao kuuliwa). ila ukiirushia Israel hata bomu la petroli tu, lazima huwa analipiza kisasi ambacho next time kabla hujarusha itabidi ujiulize kwanza. ndio sera yao kabisa, wao wanasema ni nchi ndogo na imezungukwa na maadui hivyo chochote unachowafanyia huwa wanatake seriously.

icho kichwa chako kitapata lini akili aisee?mbona lilikuwa jambo rahisi sana kuelewa.
Nimepata akili baada ya wewe kufafanua vyema hoja yako, tofauti na ulivyo iwasilisha mwanzo. My mind gets lost in a vague presentation of idea.
 
Back
Top Bottom