Ulivyo mjinga na mpumbavu hukujua pamoja na kuambiwa kuwa vijana wa kiarabu wanaoishi Israel ndiyo waliochoma mioto hiyo!!!Miripuko ilitoke bandari ya Iran baadae ya siku mbili moto umewaka Israel ulivyokuwa huna akili ulishindwa kuelewa ule moto nani alisababisha ukashindwa kuelewa
HIYO NI IRA SIYO TANGANYIKA AU USA TARRIF ANAWEKA YEYE UCHUMI UNAYUMBA KWAKE MWENYEWE...NI MWENDO WA KUZALISHA NYUKLIA TU KUMUANGAMIZA MYAHUDI IWE ISIWEIran inapoteza chanzo kingine muhimu cha mapato: Iraq itaacha kuagiza umeme kutoka Iran kutokana na vikwazo vya Marekani.
Iraq imewasha njia mbadala za umeme kuagiza umeme kutoka Jordan na Uturuki.