Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Magaidi wajitenge mbali na marekani Wataisha wanatumwa wanajipeleka kama kasuku .
Utasikia lawama/ dhambi zote apewe marekani 😂Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Shia ndugu yake Shia, adui yake SunniPakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Pakistan nae kashambuli ndani ya Iran.Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?