Iran ya shambulia Pakistan na drone

Iran ya shambulia Pakistan na drone

Soma taarifa vizuri mbona ipo wazi sababu imewekwa
Sawasawa hapo nikama nimeanza kuelewa

Kumbe walioshambuliwa na Iran sio Palestina ni kikundi cha kigaidi.

Japo nimejaribu kusearch ilo jina la hicho kikundi nimeletewa majibu kuwa ni kundi lenye itikadi za kidini ya kiislamu kutoka dhehebu la Sunni.

Cha kushangaza katika list ya mataifa ambayo yanatambua hili kundi kama ni kundi la kigaidi na Iran pia imo.

Kwa mantiki hiyo ni sahihi kupigwa
 
Pakistan amekuwa Kafir 😅😅
Mleta mada tu kaamua kuweka confusion ila ukisoma habari na ukaenda kujiridhisha kwenye Google utaona habari haipo kama ilivyo letwa.

Iran imeshambulia kambi za kigaidi ambazo makao yake yapo Pakistan

Kwa hiyo hapo hakuna uhusiano wowote wa Pakistan kuhusika. Hilo kundi lenyewe la Jaish ul-Adl lipo kusini mashariki mwa Iran karibia na mpaka wa Pakistan.

Na ukiangalia shambulizi lao la kwanza hao organization Jaish ul-Adl walifanya 2012 wakiua hao member wa IRGC

Kwa hiyo hii ni kama internal conflicts tu
 
Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu

Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Jaish Al-Adl ni kundi ambalo Iran inadai ni terrorist group, ndipo wamepiga HQ zao hapo Pakistan, inadaiwa wanashirikiana na Mossad.

Hilo kundi lilishawahi kufanya mauaji nchini Iran kwenye police station, ni Israel backed group, mlengwa ni Israel.
 
Nimesoma Wikipedia nimeona kweli ni kundi la kigaidi

Ila sijakutana na correlation ya Israel na hilo kundi
 
Kuna sera yeyote inayoimbwa kwamba muorhodoxy ndugu yake ni muorhodoxy?
Kwa hiyo nyinyi Wakristo sio ndugu hivyo mmeamrishwa kupigana kama Urusi na Ukraine? Mambo ya siasa kurazimisha yawe ya kiimani ni moja wapo ya uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Kwani kila mtu anayepinga Iran ni kazima awe Mkristo?
 
Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu

Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Kama ni kweli, basi Pakistan hatamuacha huyo, lazima amjibu vikali.
 
Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu

Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?

Jeshi IRGC la kiShia Iran vs mgambo wa kiSunni Jaish al-Adl waliojichimbia Pakistani

More info :
Members of the Jaish al-Adl organization residing in Pakistan , decried the Islamic Republic regime for targeting children, women, and innocent people, saying that "the Revolutionary Guards and decision-makers should be aware that such heinous attacks... will strengthen the determination of the Jaish al-Adl to overthrow their palace of tyranny."

Jaish al-Adl, or the “Army of Justice,” is a Sunni militant group founded in 2012 which largely operates across the border in Pakistan. The group has claimed bombings and kidnapped Iranian border police in the past. Iran has fought in border areas against the militants, but a missile-and-drone attack on Pakistan would be unprecedented for Iran.

Nour News, affiliated with Iran's Supreme National Security Council, said the attack by Iran's Revolutionary Guards targeted bases in the in Zarghoon Mountains in the east of the Quetta District in Pakistan's Balochistan Province.

Nour News claims the Pakistani government does not have full control over this region, and it has turned into a safe haven for militant groups.

Also on Tuesday, Iran's Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian met his Pakistani counterpart Jalil Abbas Jilani on the sidelines of the World Economic Forum (WEF) in Davos, Switzerland. The attack also happened two days after Hassan Kazemi-Qomi, the special representative of the Iranian president for Afghanistan affairs, arrived in Islamabad at the head of a political delegation upon an invitation by his Pakistani counterpart Asif Durrani.

However, Pakistan's statement made it clear that Tehran did not warn Islamabad about the impending attack. "It is even more concerning that this illegal act has taken place despite the existence of several channels of communication between Pakistan and Iran. Pakistan's strong protest has already been lodged with the concerned senior official in the Iranian Ministry of Foreign Affairs in Tehran."
 
Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu

Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
So pathetic, kama ndivyo, mbona wapalestina wanetengwa na Hao Islam's, wenzao? Wa Arabs/islam wamebaki maneno matupu,nchi ya kikristo(yenye majority 90%christians) South Africa ndio imeamua kufungua kesi dhidi ya Israel,
 
Back
Top Bottom