Iran will blow up the heart of Israel!!!

What u smoke blood? I want some! Lugha hii nyekundu hapo ni maarufu kule middle east pande za Iraq na Afghanistan! Bro what's the matter with U?
Iran na Israel kwani siko wapi si ndiyo huko huko...
 
Wakishindwa hoja wanaleta viloja....kaangalie tena ramani ya mashariki ya kati alafu rudi utuambie hii vita itapiganwa vipi.
Hoja ipi? wanaotaka kupigana vipi watajua vipi watapigana..kama ni kuhonga majirani watujua wenyewe lakini cha msingi hapa "waache kelele waanze kupigana tujue bingwa...finito!
 
Nafikiri alietoa tamko ni mkuu wa majeshi na sio Raisi wa Irani ,hivyo yeye mkuu wa majeshi atakuwa anaijua zaidi hali ya kijeshi kuliko Raisi mwenyewe na ikiwa vita hiyo itafumka itakuwa tofauti na ile ya Iraq ,Iran imefanya test kibao za missile na imefanya mazoezi kibao ya kivita ,na kama utakumbuka Marekani alimsaidia MuiRaq katika vita yake na Iran ni miaka mingi vilipiganwa.
Leo hii mambo mengi yamebadilika na taaluma ya kijeshi imepatikana zaidi kutoka Urusi na China na pia kutoka Korea ,sasa Iran hajasema kama atashinda ikiwa vita itatokea lakini alichosema ataivuruga Israel na kama unatambua ni juzijuzi tu Muisrael alitolewa kamasi na Hizbullah chama cha wakulima wazalendo ambao wamejiweka na kujilinda bila ya kutumia jeshi la serikali.
Kama haitoshi Muiraqi alichangiwa na nchi karibuni zote za dunia katika kumpiga lakini leo hakuna nchi ipo tayari kuungana na Marekani katika kutekeleza ujeshi wake ,
iran itaifumua israel kwa maelfu ya makombora
 
Back
Top Bottom