Iran wana uwezo zaidi katika medani za kivita?

Nimeona taarifa BBC Jana Iran ninchi ya13 dunian kiuwezo mkubwa wakijeshi, kwaupande wamashariki yakati ameitupa uturuki Saudia rabia mpka na israil, hapo Sasa ndouone nchi ya Iran ilivo kiuhalisia tofaut naushabik unaendelea hapa jukwaan
Dah! Kumbe jamaa ni hatari.
 
Nimeona taarifa BBC Jana Iran ninchi ya13 dunian kiuwezo mkubwa wakijeshi, kwaupande wamashariki yakati ameitupa uturuki Saudia rabia mpka na israil, hapo Sasa ndouone nchi ya Iran ilivo kiuhalisia tofaut naushabik unaendelea hapa jukwaan
Sawa sawa kabisa
 
Bila shaka Iran Wana kitu kikubwa Sana Cha Siri lakini Cha kutishA Sana ,, Iran wamefanya mengi Sana ya kutisha dhidi ya US lakini action dhidi yake ni ndogo ama hairidhishi
Majibu tunayaona leo hii kwenye Kamikaze pale Ukraine.
 
Pia marekan ameshindwa vibaya San na Iran sirya, hii vita ya sirya ndovita ilikua inaamua mustakabal wamashariki yakat ninan mwenye nguvu kwasababu Saudia RABIA, UAE, QATQR, BAHREIN, nawashirika wote wa marekan kwaupande wamagharibi lakin angalia vita ilivopiganwa kwaakili yahaliyajuu na iran nataka nikwambie Iran nimafundi wavita vya ardhin wanauwezo nambinu zahaliyajuu na ndomana walivibadilisha vita pale sirya

Nafikir kwawale wanzang wakiislam mankumbuka vita vya handaki alivopigana mtume wetu S. W. A. mbinu hii alipewa na swahaba mmoja akiitwa Salman AL farsii huyu alikua nimuiran ndoman aliitwa alfarsii maana yake nimfrus wafrusi ndowairan, Hawa jamaa nitofauti kabisa natunavowafikiria
Sahihi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom